Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

kama si dhambi kwa nini mnajificha?
Nimeipenda hii,kumbe dhambi ni mtazamo wako tu.

Dhambi si mtazamo wako tu, ni mtazamo na msimamo wa unachokiamini (imani yako), ukristo, uislam, upagani,uhindu nk.Nimeipenda hii,kumbe dhambi ni mtazamo wako tu.

Naona shetani yupo kazini kuwapotosha wanadamu,zinduka ee mwana jf,wengine ni freemasons humu.Tusali sana kumpiga vita huyu pepo mchafu

Tehe! Mbona ukioga wajificha kwa bafu au nako ni dhambi.

Mbona walala chumbani na wala si uani.

Mbona............!
Tamaa ndo inakusumbua!hakuna uhuru usio na mipaka, Mungu aliyeweka utaratibu huo ni mjanja na mwenye hekima kuliko wewe, je ulipokuwa mtoto kwenu hakukuwa na utaratibu wa kufuata? wazazi wako walipokwambia ni marufuku kurudi nyumbani usiku uliwaonaje? sasa je huoni faida ya kuwa nyumbani mapema baada ya kuwa mkubwa?we bado ni dogo kwa ufahamu mbele za muumba, acha ujinga, fuata maelekezo ya Muumba ili uishi.IPO NJIA IONEKANAYO KUWA NZURI MACHONI PA MTU LAKINI MWISHO WAKE NI MAANGAMIZI!Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!
Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!
Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!
zingatia:Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!