Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Wakuu,
Baada ya kugundua kuwa mambo mengi yameshafanyiwa utafiti niliamua kufanya utafiti kuhusiana na vibanio vya nguo.
Ni hivi ukinunua vibanio 100 leo na kuanza kuvitumia baada ya miezi 6 ukihesabu utakuta vimepungua hata kama unavihifadhi kwa umaskini mkubwa.
Mpaka sasa utafiti umeshindwa kubaini vinapokwenda.Hata madobi wanalalamika sana kuhusu hili.
Naomba anaejua anisaidie
Unashangaa vibanio vingi vinakatika na kuharibika. Ila unatakiwa ushangae vijiko hata ununue mia moja baada ya muda mfupi utakuta vipo saba.Wakuu,
Baada ya kugundua kuwa mambo mengi yameshafanyiwa utafiti niliamua kufanya utafiti kuhusiana na vibanio vya nguo.
Ni hivi ukinunua vibanio 100 leo na kuanza kuvitumia baada ya miezi 6 ukihesabu utakuta vimepungua hata kama unavihifadhi kwa umaskini mkubwa.
Mpaka sasa utafiti umeshindwa kubaini vinapokwenda.Hata madobi wanalalamika sana kuhusu hili.
Naomba anaejua anisaidie
Kweli kabisaUnashangaa vibanio vingi vinakatika na kuharibika. Ila unatakiwa ushangae vijiko hata ununue mia moja baada ya muda mfupi utakuta vipo saba.
Ukipata jibu nijuze mkuu maana hata mimi sijui ni kwanini
Maana hili swali ni gumu MURAAA.....maana hua nanunua kila jumamosiHahahahahahhaaaaa
Nimecheka sana
Kwenye nyumba za kupanga mpaka wanaandika majina kwenye vibanio lakini bado vyapotea, nimeona mahali mpaka vijiko na safuria zimeandikwa majina ili visijichanganye na vya majirani,Wakuu,
Baada ya kugundua kuwa mambo mengi yameshafanyiwa utafiti niliamua kufanya utafiti kuhusiana na vibanio vya nguo.
Ni hivi ukinunua vibanio 100 leo na kuanza kuvitumia baada ya miezi 6 ukihesabu utakuta vimepungua hata kama unavihifadhi kwa umakini mkubwa.
Mpaka sasa utafiti umeshindwa kubaini vinapokwenda.Hata madobi wanalalamika sana kuhusu hili.
Naomba anaejua anisaidie
Hahahaaa nilikuwa kimya kufanya huu utafiti wa sox.... Nikweli zinapotea ktk mazingara ya kutatanisha.Mimi tatizo langu ni Sox hata nikinunua pair 10 baada ya mwezi ntajikuta na pair moja tu au mbili, nyingine zimebaki mojamoja tu.