kwa sox, ninajuwa mimi inategemea sana na eneo la kufulia, kama kuna mtaro wa kimwaga maji au mfereji au bomba lolote la kumwaga maji ya sabuni baada ya kufua huwa tunazimwaga bila kujuwa kama kuna nguo chini ya beseni la maji imebakia.Mimi tatizo langu ni Sox hata nikinunua pair 10 baada ya mwezi ntajikuta na pair moja tu au mbili, nyingine zimebaki mojamoja tu.