Kwanini Vibanio vya nguo vinapotea hata ukivihifadhi kwa umakini mkubwa?

Kwanini Vibanio vya nguo vinapotea hata ukivihifadhi kwa umakini mkubwa?

Mimi tatizo langu ni Sox hata nikinunua pair 10 baada ya mwezi ntajikuta na pair moja tu au mbili, nyingine zimebaki mojamoja tu.
kwa sox, ninajuwa mimi inategemea sana na eneo la kufulia, kama kuna mtaro wa kimwaga maji au mfereji au bomba lolote la kumwaga maji ya sabuni baada ya kufua huwa tunazimwaga bila kujuwa kama kuna nguo chini ya beseni la maji imebakia.
 
Unashangaa vibanio vingi vinakatika na kuharibika. Ila unatakiwa ushangae vijiko hata ununue mia moja baada ya muda mfupi utakuta vipo saba.
Vibanio na vijiko vingi vinamwagwa wakati wa kufua au kuosha vyombo
 
Nina vibanio ambavyo nilinunua almost miaka 2 iliyopita na hadi leo hakijapotea hata kimoja!!!

System yangu ni kwamba, ninapoanua nguo; nikifika ndani, kabla sijafikisha kule nguo zinakopaswa kutunzwa, kitu cha kwanza ni kurudishia vibanio kwenye kifuko chake ndipo nashughulika na nguo!!!
 
Mimi nilishaacha kutumia vibanio maana napoteza hela tu wakati hata nisipobana nguo zinakauka tu
 
Haya mambo Ndio yaliyoacha niaacha kuvaa chupi, kila baada ya muda sioni kufuli moja! Nilipooa nikamwachia Mke wangu Ulinzi wa hii kitu. Sasa tatizo limepungua. Haya mambo ni ya akina Mama
 
Haya mambo Ndio yaliyoacha niaacha kuvaa chupi, kila baada ya muda sioni kufuli moja! Nilipooa nikamwachia Mke wangu Ulinzi wa hii kitu. Sasa tatizo limepungua. Haya mambo ni ya akina Mama
Hahaha. ....kwahiyo hata sasa bado unapiga msulumbwende bila pichu??
 
Back
Top Bottom