kwa sox, ninajuwa mimi inategemea sana na eneo la kufulia, kama kuna mtaro wa kimwaga maji au mfereji au bomba lolote la kumwaga maji ya sabuni baada ya kufua huwa tunazimwaga bila kujuwa kama kuna nguo chini ya beseni la maji imebakia.Mimi tatizo langu ni Sox hata nikinunua pair 10 baada ya mwezi ntajikuta na pair moja tu au mbili, nyingine zimebaki mojamoja tu.
Vibanio na vijiko vingi vinamwagwa wakati wa kufua au kuosha vyomboUnashangaa vibanio vingi vinakatika na kuharibika. Ila unatakiwa ushangae vijiko hata ununue mia moja baada ya muda mfupi utakuta vipo saba.
Hahaha. ....kwahiyo hata sasa bado unapiga msulumbwende bila pichu??Haya mambo Ndio yaliyoacha niaacha kuvaa chupi, kila baada ya muda sioni kufuli moja! Nilipooa nikamwachia Mke wangu Ulinzi wa hii kitu. Sasa tatizo limepungua. Haya mambo ni ya akina Mama