Kwanini vibopa wengi wanapenda logistic business?

Logistics business inalipa sana hasa kwa mikoa yenye Bandari (Dar, Tanga & Mtwara), nchi jirani karibuni zote zisizo na bahari zinatumia bandari zetu, ambapo kufikisha shehena katika nchi zao hutumika Local registered. trucks. Hivyo logistics business kwa nchi yetu ni biashara kubwa na inaingiza fedha nyingi za kigeni.

Kwa huduma ya Clearing & Forwarding (Local & Transit) kwa mizigo aina yote, karibu Ruaha Freight Ltd,
Wasiliana nasi;

Ruaha Freight Ltd,
Umati building 3rd Floor, Room No 18 Samora Avenue / zanaki street Dar es Salaam. P.O.Box 62442
Dar es Salaam
.
Email: info@ruahafreight.com
Website: www.ruahafreight.com
Tel: +255222128447

Mob: +255718 866 651 (call or whatsapp).
 
Wengi wanakuwa na bizness zao nyingine so wananunua malory kwa ajiili yao na wengine,

Kwenye mabus mara nying ni kutafuta fame pia,

All in all ni biashara nzuri ukituliza kichwa na kidudu

ukituliza kichwa na kidudu
 
Delina group ya Davis Mosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…