Kwanini Vichwa Panzi wanaaminiwa sana na kuheshimiwa ila watu wenye akili na hawazitumii wanadharauliwa?

Soma huo mfaano hayo yote yapo ila aliishia kufutwa kazi na kudharauliwa tu
 
Hapa umesema kile ambacho mimi sikuweka ila umekifafanua vizuri mkuu, umeeleweka sana...
 
Upo sahihi kabisa mkuu, ukimtoa kwenye reli kidogo tu hawa wapangilia maneno wanatoka kwenye beat
 
Ukiona unapuuzwa Sehemu A maana yake hapo sio kwako. Kwako ni Sehemu B. Usiforce kukubalika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…