Kwanini vijana tusijitolee kulingana na Ujuzi tulio nao?

Kwanini vijana tusijitolee kulingana na Ujuzi tulio nao?

Kwa nini wasomi wengi hawapo tayari kujitolea?

Jamii ina imani kubwa na vijana wetu ambao wanafika ngazi za juu za kitaaluma, kiasi wakaaminika kupewa nafasi katika maeneo mbalimbali.

Lakini ni ngumu kwao waliopewa dhamana hiyo, kuwa tayari kuwakusanya hata baadhi tu ya wale wanaowazunguka ,Ili kuwasaidia japo kwa uchache tu wa maarifa yatakayokuwa na manufaa.

Ni swali ambalo kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza. Kipi kinachangia vijana kutojitolea, na badala yake wamekuwa wakilia juu ya ajira ambazo kiuhalisia ni chache kuliko idadi ya wahitimu wenyewe mtaani?

Mfano hata kuamua kuielimisha jamii kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kama Facebook, TWITTER , Youtube na mfano wake. Laiti ungejua uhalisia wa utekelezekaji wa huo ushauri wako😢😢😢😢😢😢
 
Tangazo Linajieleza[emoji16][emoji16]
IMG_20201110_232321.jpg
 
Kujitolea kibongo bongo ni utumwa na umasikini utakunyemelea.

Kujitolea inatakiwa upewe allowance uwe hauna stress ya kuwaza utakula nini na nauli ya kwenda huko ofisini.
 
Kujitolea (Volunteering) sidhan kama ni njia nzr kwa Profit making Org. Ila kwa Non profit org ni nzuri.. kwa kuongeza Networking.. exposure.. pamoja na Experience fulani.

Internship ni best way.... Instead of Kuomba kazi.. ya moja kwa moja omba Intern kwanza ili uwe Skilled na uaminike na Taasisi.

Hata hivyo.. Internship inahitaji Connection kwa kweli.. ngumu kupata it's like una apply kazi kbs.. so ni vyema kujaribu hizo nafasi hasa kwa FRESHER'S na Wale wanaoendelea na Masomo Vyuoni.

Na njia nzuri zaidi ni KUFANYA kazi ukiwa bado unasoma.. kuliko kusubir umalize ndio uanze kuomba kazi.. hii ishu ndio inapelekea watu kuuza Vitanda.. magodoro.. maan msoto wake sio wa Kawaida. Ila ukijiwahi kuomba Intern mapema.. inakuw guarantee hata ukimaliza unawez kupewa Mkataba wa kazi kbs.
 
Ninawashauri wasaka ajira wenzangu hasa wale tunaopitia au wanaotaka kupitia hii style ya kjjitolea au internship.

Ni bora suala la kujitolea ukalifanya katika taasisi au makampuni binafsi kuliko kufanya katika taasisi za umma.Nipo ninajitolea katika taasisi moja ya umma kwakweli hali ni mbaya, ni kweli taasisi inahitajo wafanyakazi na unaona namna interns wanavyookoa jahazi ila kuna huyu mdudu anayeitwa TRANSFER hatari sana.

Tangu nimeanza internship hapo tayari wameletwa watumishi watano kwa hiyo style huku na zingine 15 zikiwa zimepitishwa na sisi tukiwepo hapo hapo. Issue ni kuwa serikali haijatoa kibali cha ajira
 
Ninawashauri wasaka ajira wenzangu hasa wale tunaopitia au wanaotaka kupitia hii style ya kjjitolea au internship.
Ni bora suala la kujitolea ukalifanya katika taasisi au makampuni binafsi kuliko kufanya katika taasisi za umma.Nipo ninajitolea katika taasisi moja ya umma kwakweli hali ni mbaya, ni kweli taasisi inahitajo wafanyakazi na unaona namna interns wanavyookoa jahazi ila kuna huyu mdudu anayeitwa TRANSFER hatari sana. Tangu nimeanza internship hapo tayari wameletwa watumishi watano kwa hiyo style huku na zingine 15 zikiwa zimepitishwa na sisi tukiwepo hapo hapo. Issue ni kuwa serikali haijatoa kibali cha ajira
Point kabisa ,kujitolea kwenye taasisi za serikali utaumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point kabisa ,kujitolea kwenye taasisi za serikali utaumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwa majukumu tuliyonayo na uhitaji wa watumishi uliokuwepo kwakweli tulijipa matumaini kuwa sasa muda wowote tunathibitishwa.

Ukitaka ujue kuwa uhitaji upo ni kuwa kitengo cha masijala kinaongozwa na Interns, Mwanasheria yupo mmoja taasisi nzima so legal interns ni kila kitu kuanzia pale receiption, presentations hadi uendeshaji wa disputes ni kuwa interns ndio kila kitu. Fikiria taasisi inahudumia nchi nzima halafu idadi ya waajiriwa ni 16 tu with CEO inclusive unaweza kuwaz ni mzigo kiasi gani tunapiga
 
Kwa nini wasomi wengi hawapo tayari kujitolea?

Jamii ina imani kubwa na vijana wetu ambao wanafika ngazi za juu za kitaaluma, kiasi wakaaminika kupewa nafasi katika maeneo mbalimbali.

Lakini ni ngumu kwao waliopewa dhamana hiyo, kuwa tayari kuwakusanya hata baadhi tu ya wale wanaowazunguka ,Ili kuwasaidia japo kwa uchache tu wa maarifa yatakayokuwa na manufaa.

Ni swali ambalo kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza. Kipi kinachangia vijana kutojitolea, na badala yake wamekuwa wakilia juu ya ajira ambazo kiuhalisia ni chache kuliko idadi ya wahitimu wenyewe mtaani?

Mfano hata kuamua kuielimisha jamii kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kama Facebook, TWITTER , Youtube na mfano wake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mim kuna shule nilienda kupeleka application. Nikakutana na bango kwa secretary "HAKUNA NAFASI ZA KUJITOLEA KUFUNDISHA"

Just imagine, yaaan hata kujitolea tuu for free hawatakiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa tujitolee kufagia barabara na kusafisha mitaro tuu.
 
Mkuu usikate tamaa kwa kila hatua unayopitia,Ipo siku itabaki historia baada ya ndoto zako kutimia.
 
Back
Top Bottom