Kwanini vijana wa Diamond hawapati dili za matangazo?

Kwenye jukwaa la celeb Ulitaka tujadili nini kwa mfano. Acha undezi kima wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hawajiongezi wanategemea kila kitu wapate kutoka wcb... Wameshapata fame wautumie kufanya maisha sio kutegemea mziki tu maana kwenye mziki wanaminywa na boss wao
 
Mimi ninachowahurumia kama huyo Rayvanny kila kitu siyo chake.

Kuanzia Jina: Rayvanny, YouTube Channels, iTunes, Deezer, Tidal Accounts, Nyimbo zote na Audio alizo rekodi akiwa na WCB mpaka mashabiki ni Mali Ya Wasafi.

Siku wakimtimua ( Maana yule nguvu ya kutoka sidhani kama anayo ) anaenda kuanza upya kama KIFARANGA YATIMA.

Na Hii ni kwa wasanii wote wa WCB kama Mbosso na Lava Lava
 
WCB ni Wanyonya madogo hawana kitu Wamepewa Mikataba ya Kinyonyaji, Ndo maana Rich Mavoko alitoka hana kitu anaungaunga Na kazi kafanya kibao pale Wcb
 
Ni hatari sana Wajanja Wanastuka Wanajitoa Mapema, na Ndo kilichomkuta Rich Mavoko alinyanganywa kila kitu..
 
Ingawa umeongea kishabiki ngoja nikupe elimu kwanza diamond hawafuati sponsors wanamfuata yeye na sponsor wanakuaga na vigezo vyao vya kumchagua msanii wakutangaza bidhaa zao kwa maana hiyo huwezi ukasema diamond anawabania wasanii wake wakati hayo makampuni yanakuja kwaajili ya mondi na si msanii mwingine Kama kile kinywaji Cha ufaransa,pepsi, Coca-Cola,niceone,tomato sauce,Gms mall Kuna wakati mpaka diamond anatangaza utalii wa south Africa.Ukitaka kujua Hilo mbona ujiulizi pamoja na Alikiba kuwa na jina kubwa mbona na yeye apati sponsors na huyu yupo nje ya WCB? Mbona mtu Kama Jux,ben pol,Roma,Ney wa mitego hawapati nao sponsors na Hawa wananyonywa?wewe ulitakiwa kuwaambia Rayvanny, Mboso na Lavalava wajiongeze kwa kutumia brand zao zilizojengwa na WCB kufanya biashara Kama majina wanao kuliko kuwatumia lawama WCB for nothing mbona wote ( Rayvanny na Lavalava) wanna studio zao za mziki wanashindwa vipi kuenda extra mile.
 
Sasa wewe ulitakaje
 
Muziki mgumu jamani kama kweli wananyonywa wasepe waone kama watakubaliana mtaasn
 
Alikiba alikuwa baalozi wa tembo chini ya tanapa sasa hivi yupo na asas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…