Wewe nae waza kwa mapana, hakuna chuo ambacho wahitimu wake wanaajiriwa ...ila huoni hio potential ya vijana wa SUA kuajiriwa nilipoandika hapo juu??? au unapenda kupinga ili mradi uonekane umepinga?Ni chuo gani ambacho wahitimu wake wote wanaajiriwa?
Usijali !save energy for to night!sijisikii kubishana leo,ila ungenikoma
Mwaaaahhh!!!ajira ipo huku uu njoo!!Hovyo
Wapi huko? Acha kuandika ujingaWenzetu mtu mwenye degree ni mtu mwenye uhakika na ajira...
Wazo zuri saana ni uboreshwaji wa wazo ndiyo unatakiwa tu.
Mfano: Baadhi ya nchi hasa za Asia, Africa zipo chache ukiingia kwenye kilimo unaomba mkopo kama business plan yako ikipita unapewa mkopo na unatafutiwa aridhi. Marudisho unarudisha tu asilimia 50.
Kwa biashara na wakandarasi hivyo hivyo. Wakandarasi wanapewa mikopo rafiki na usimamizi wa kitaalam.
Tuseme kama tumewapa wakandarasi 100 wa kitanzania 40 wakaanguka 60 wakanyanyuka hatujapoteza kitu. Bado pesa zinazunguka Tanzania.
Hatuna utamaduni wa kuwezeshana. Wanasiasa na wananchi tupo busy kujadili petty issues.
Binafsi ningeulizwa kipaumbele chetu kingekuwa nini ningesema kupigia kelele wanasiasa wawawezeshe wananchi hasa kwenye uzalishaji na uchakataji wa bidhaa.
Tumwage pesa kwa wananchi wenye uthubutu..tusisubiri waanguke kisha tuwalaumu...tuwape mitaji na wataalamu wa kufanya nao kazi.
Wachina walianza hivi... wengi walio na miaka 15 hadi 20 Africa ukiwauliza wanakuambia serikali ilifadhili kiwanda cha nguo kisha zilipozalishwa nyingi wakakusanya wajasiriamali wakawapa mitumba na pesa kidogo wakawaleta Africa kwa jina la wawekezaji.
Leo hawa Wachina wamejazana kuanzia Nigeria hadi South Africa na ndiyo wametawala kwenye maduka ya nguo.
Pole mkuu, hakuna uwajibikaji kwa serikali ndio tatizo...kwa mfano kungekuwa na wataalamu wanasema limeni hiki kwa sasa, usingelima bamia na kuangukia pua mkuu....sijui ukweli tatizo liko wapi mkuu...Kijanaa nimeamua kulima eka Tano za bamiaa ,nakujaa sokoni nakuta wananunua sado mia mbili,wakati mwezi uliopita sado ulikuwa buku
Haki kilimo nipata poteaa,nimerudii zangu mjini kuendelea kuchomelea vyumaa na bamiaa nimesusaa shamban🙌
Ufisadi ni janga ambalo linawa affect vijana na nguvu kazi ya kesho, nichagueni mimi kuwa Rais nifanye reforms LOLHao vijana walio pelekwa israel unajua walipo ? Ngoja nikwambie walipo hamna mwenye ajira baadhi wali pelekwa kwenye mradi wa BBT (wa bashe) ambao ume telekezwa una jifia tu uko dodoma maana likua ni project ya kupiga pesa tu na wahuni washa piga tayari.
Wengine wako mtaani baada ya kuhaidiwa wataitwa hadi leo bila bila ,kumbuka wali hakikishiwa ajira serikalini moja kwa moja wakirudi
Poor mindset.Kijanaa nimeamua kulima eka Tano za bamiaa ,nakujaa sokoni nakuta wananunua sado mia mbili,wakati mwezi uliopita sado ulikuwa buku
Haki kilimo nipata poteaa,nimerudii zangu mjini kuendelea kuchomelea vyumaa na bamiaa nimesusaa shamban🙌