Kwanini Vijana wa UVCCM Wamepata Kigugumizi Kumjibu Captain Tesha the Hero?

Kwanini Vijana wa UVCCM Wamepata Kigugumizi Kumjibu Captain Tesha the Hero?

Rostam au Yule mzee wake Mo waje wamjibu kama walivyo mjibu polepole
 
Haya haya wale vijana wa UVCCM mko wapi kuitisha press za kumjibu Captain Tesha? Au hamjasikia chochote?

Kama hamna bando njooni niwape free WiFi🤣🤣🤣.
1000242889.jpg
 
Haya haya wale vijana wa UVCCM mko wapi kuitisha press za kumjibu Captain Tesha? Au hamjasikia chochote?

Kama hamna bando njooni niwape free WiFi🤣🤣🤣.
Changamoto kubwa kwa baadhi ya vijana wa UVCCM ni kwamba wengi wao wamejikuta wakiwa wamefail katika maeneo mbalimbali ya maisha kama elimu, biashara, na maadili. Kutokana na hali hiyo, wengi huiona CCM kama njia rahisi ya kujipatia mafanikio binafsi badala ya chombo cha kuhudumia taifa. Fikra zao mara nyingi huzunguka zaidi kwenye nafasi za UDC na vyeo vya ‘mchongo’ kuliko maslahi mapana ya nchi. Kwa sasa, wanakabiliwa na kipindi kigumu wapo stressed kwani chama kikiyumba, wengi wao hukosa msingi mwingine wa kuwategemeza.
 
Kupotezwa ni mbaya, wamepoteza wengi unafikiri na wao wanapenda kupotezwa...
 
Back
Top Bottom