Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Uvccm hatubishani na Viongozi wetuHaya haya wale vijana wa UVCCM mko wapi kuitisha press za kumjibu Captain Tesha? Au hamjasikia chochote?
Kama hamna bando njooni niwape free WiFi🤣🤣🤣.
wanajadiliana na Baba zao kwanza kuomba kingaHaya haya wale vijana wa UVCCM mko wapi kuitisha press za kumjibu Captain Tesha? Au hamjasikia chochote?
Kama hamna bando njooni niwape free WiFi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Labda wapewe condom sio kinga nyingine.wanajadiliana na Baba zao kwanza kuomba kinga
Wamjibu ili waliwe Kichwa.Haya haya wale vijana wa UVCCM mko wapi kuitisha press za kumjibu Captain Tesha? Au hamjasikia chochote?
Kama hamna bando njooni niwape free WiFi🤣🤣🤣.
Hahahaaaa.Wamjibu ili waliwe Kichwa.
Hapo so tu Vijana wa lumba hata wasanii
Hawa makanjanja safari hiii hata baada ya Ukombozi.Hahahaaaa.
Kama wana akili wakimbie nchi fasta.Hawa makanjanja safari hiii hata baada ya Ukombozi.
HAKUTAKUA na msalia Mtume, tutayafunga hata Miaka miwili miwili .
Yametuumiza sana haya machawa kuanzia Mwijaku mpaka stiv mingele
Haya haya wale vijana wa UVCCM mko wapi kuitisha press za kumjibu Captain Tesha? Au hamjasikia chochote?
Kama hamna bando njooni niwape free WiFi🤣🤣🤣.
Changamoto kubwa kwa baadhi ya vijana wa UVCCM ni kwamba wengi wao wamejikuta wakiwa wamefail katika maeneo mbalimbali ya maisha kama elimu, biashara, na maadili. Kutokana na hali hiyo, wengi huiona CCM kama njia rahisi ya kujipatia mafanikio binafsi badala ya chombo cha kuhudumia taifa. Fikra zao mara nyingi huzunguka zaidi kwenye nafasi za UDC na vyeo vya ‘mchongo’ kuliko maslahi mapana ya nchi. Kwa sasa, wanakabiliwa na kipindi kigumu wapo stressed kwani chama kikiyumba, wengi wao hukosa msingi mwingine wa kuwategemeza.Haya haya wale vijana wa UVCCM mko wapi kuitisha press za kumjibu Captain Tesha? Au hamjasikia chochote?
Kama hamna bando njooni niwape free WiFi🤣🤣🤣.
Rostam huyu huyu mwoga?Rostam au Yule mzee wake Mo waje wamjibu kama walivyo mjibu polepole
Hatari sana.Kupotezwa ni mbaya, wamepoteza wengi unafikiri na wao wanapenda kupotezwa...