Pre GE2025 Kwanini vijana wengi hawapendi kushiriki chaguzi hasa kupiga kura?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Asante kwa ushaur
 
Wakileta tume iliyo huru na katiba iliyo ya wote nitapiga kura. Kwa sasa acha nisipoteze muda wangu
 
Kwa sababu uchaguzi si huru na haki? Kura zao haziheshimiki?
 
Comments reserved
 
Kwa kijana mwenye akili timamu huwezi poteza muda kwenda kupanga foleni eti kupiga kupiga kura Ili Hali unajua fika matokeo yanapikwa na Sasa wanasema hadharani.
 
Jibu lako utalipata kwenye clip ya aliyekua mkuu wa wilaya ya Longido mixer na Ile ya Bumunda lilipokua BKB.
 
Uchaguzi haufanyiki kwa kupiga kura, kuna mambo huwa yanafanywa porini na watu ambao wapo veri tafu, hao ndio wanaamua matokeo ya uchaguzi 😏
 
Kama ya Longido na mapori kupiga kura ya kazi gani?
 
Wakuu ni kweli vijana wengi wanatamani kuona maendeleo kwenye hii nchi yetu ila linapokuja suala la kupiga kura wengi hawapigi kura.

Nauliza wewe kama kijana upo tayari kupiga kura au haupo tayari kupiga? Kama haupo tayari ni kwa nini?
 
Tutapiga kura kuichagua CHADEMA tu basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…