Serikal za mataifa ya Africa ziliambiwa ziruhusu ndoa za jinsia moja bali nyengine zilikataa ikiwemo nchi yetu ya Tanzania. Sasa huwa wenzetu hawakati tamaa, bali hutafuta njia mbadala ya kufanikisha malengo yao ikiwemo njia ya kushawish vijana kwa siri kwa kuwalaghai kifedha wakijua watu wengi wa kileo wanapenda saana maisha money