Mkuu.....
Pole kwa matatizo yaliyokupata pia ningependa kukushauri anza kumfuatilia nyendo zake kama ni shoga au ana jihusisha na ubahasha, wenyewe wanaita ( top au bottom ) endapo utajua ukweli nakushauri uongee naye na kumshauri apunguze hiyo tabia taratibu na mwishowe ataacha kabisa, ila inasikitisha mno kwa kijana wa kiume kushiriki mapenzi ya jinsia moja hata vijana wa kike pia, ushiriki wa kufanya mapenzi kwa kinyume na maumbile pia si sawa kuna ulazima hatua ichukuliwe, ni vigumu mtu aliye kwisha anza kushiriki mapenzi ya jinsia moja ila ni kumshawishi ili aweze kupunguza taratibu na hatimaye aache kabisa michezo hiyo hatarishi.