uhuru tech
Senior Member
- Apr 16, 2017
- 153
- 286
Wadau kwema? Vijana wengi wanamaliza vyuo na kupata vyeti, lakini bado wanakaa muda mrefu bila ajira. Wengine wanaishia kufanya kazi ambazo hazihusiani kabisa na taaluma walizosoma mfano boda boda n.k
Kwa maoni yako, tatizo kubwa ni ukosefu wa ajira, mfumo wa elimu, ukosefu wa ujuzi wa vitendo, au vijana wenyewe hawajajiandaa vizuri kwa soko la ajira?
Serikali, vyuo na sekta binafsi wanapaswa kufanya nini ili hali hii ibadilike?
Tupe uzoefu na maoni yako.