uhuru tech
Senior Member
- Apr 16, 2017
- 153
- 286
Ya nn veta ...JiajiriAu tukomae Na veta?
Ok hii iko sawa
Wahitimu ni wengi nafasi za kuajiriwa ni chache. Mfano: Kuna basi 1 tu lenye uwezo wa kubeba abiria 80, na abiria wanaotaka kusafiri ni 5000. Kitakachofanyika utabeba wale abiria 80 tu, na 4920 watabaki. Suluhisho, ni mfumo wa elimu ubadilike uwatengeneze wahitimu uwezo wa kujiajiri, huku serikali ikiboresha sera nzuri za kikodi watu kujiajiri.
I think changamoto kubwa, inakuwa pale kwenye vyanzo au sources ya kuona hayo matangazo.... kama kungekuwa na centralize point ya ajira zinazotangazwa na private sector au makampuni mbalimbali, i think ingekuwa vyema sana .... hizi za ss hivi ambazo zipo hazifocus pia na job seeker experience too, many ads, too many redirects kwenfa kwenye site mbalimbali ..... if your are looking for a job ... i recommend the website ya hawa watu besttalentreach.com ... these guys wapo vzuri sanaHakuna ajira nyingi kutosheleza idadi ya watafuta ajira
Na zilixokuwepo, ni za koneksheni
Jiajiri kijana
Kama ungekuwa na akil, ungetunza bomu, kama huyu
View: https://www.youtube.com/watch?v=jGSL_oor3Rs
I think changamoto kubwa, inakuwa pale kwenye vyanzo au sources ya kuona hayo matangazo.... kama kungekuwa na centralize point ya ajira zinazotangazwa na private sector au makampuni mbalimbali, i think ingekuwa vyema sana .... hizi za ss hivi ambazo zipo hazifocus pia na job seeker experience too, many ads, too many redirects kwenfa kwenye site mbalimbali ..... if your are looking for a job ... i recommend the website ya hawa watu besttalentreach.com ... these guys wapo vzuri sanaWadau kwema? Vijana wengi wanamaliza vyuo na kupata vyeti, lakini bado wanakaa muda mrefu bila ajira. Wengine wanaishia kufanya kazi ambazo hazihusiani kabisa na taaluma walizosoma mfano boda boda n.k
Kwa maoni yako, tatizo kubwa ni ukosefu wa ajira, mfumo wa elimu, ukosefu wa ujuzi wa vitendo, au vijana wenyewe hawajajiandaa vizuri kwa soko la ajira?
Serikali, vyuo na sekta binafsi wanapaswa kufanya nini ili hali hii ibadilike?
Tupe uzoefu na maoni yako.