Kwanini Vijana wengi wanafanikiwa wakija Dar es Salaam kuliko mikoani?

Populatiob ya dar ni kubwa sana na mzunguko wa hela upo dar hata uuze karanga unatoboa
Maisha hayapo hivyo Nina jamaa zangu zaidi ya 10 wapo mwaka wa 20 hapo dar hawajatoboa na classmate wengi pia wapo hapo dar hawajafanikiwa wengi wapo maisha standard wachache wamefanikiwa kujenga huku nyumbani
 
Umekuja dar,,, umejiingiza kwenye udalali... Umenunua simu.. umejiunga jamiiforum unaanza kutuandikia vitu havieleweki
 
Mkuu mafanikio yao umeyaona kwa macho ukadhibitisha au wanakupigia simu na picha?
Tuanzie apo kwanza 😅😅
 
Unaongea kinyume nyume au?

Hivi Kwa nini siku hizi Dar imekuwa kama mwanamke anahitaji kuonewa huruma?

Watu wa Dar wanatumia Nguvu sana Ili.Dar iendelee kubakia na hadhi ile.ile.ambayo.haipo.kwa.sasa yaani hakuna anaeshiboka nako ,watu wanahamia Mikoani.
 
Mzunguko wa ela ni mkubwa
Na kupotea kwa ela ulioshika pia uwezekano ni mkubwa
Huenda ni mkubwa zaidi
Hapa dar tunafosi tu
Ila hapafai
Yap mkuu, pesa unaweza ukapiga mishe mishe ukapata tatizo ukishaipata ndio haikai. Usafiri gharama, makazi gharama, mapenzi ndio usiseme kila demu anajiuza, hapo bado haujamwagilia moyo
 
Wanaokwenda mkoani ni wengi kuliko wanaingia dar?
 
Yap mkuu, pesa unaweza ukapiga mishe mishe ukapata tatizo ukishaipata ndio haikai. Usafiri gharama, makazi gharama, mapenzi ndio usiseme kila demu anajiuza, hapo bado haujamwagilia moyo
Acha tu mkuu
Mimi binafsi naongea kwa experience
Pesa sio ngumu kuipata ila kuisha ndio inaisha pia ivyoo ivyooo
 
Unahasira sana mkuu 😅😅😅tatizo nini?
 
Dar ni Gulio wanakuja kuuza/kununua na kuondoka hakuna mtu ana shobo za kuishi Dar Kwa Sasa
Sina uhakika na ulichokiongea maana wanaotoka dar ni wachache ukilinganisha na wanakuja. Mimi nikisafiri kutoka dar kwenda mkoani huwa nakata tiketi pale pale stand asubuhi siku ya safari na sijawahi kukosa basi ila nikitoka mkoa kuja dar nalazimika kukata tiketi siku mbili kabla ya safari kwa sababu ukikata siku moja kabla unakuta mabasi yote yamejaa
 
Mimi pia nampinga jamaa
Nipo na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…