Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar Hio jam tu Mimi 🙌🙌🙌🙌🙌
kawaida tu, mkoani kwangu napa kubali zaidi.Mzunguko wa fedha ni mkubwa sana kwa upande wa Das'lam
Nakumbuka niko miaka 19-20, ndo fursa zime itika mkoani.Bila pesa huli, hugongi, hulewi, huheshimiwi.
Utapata tu akili.
Kijijini kwetu bila pesa mbususu unapata, utalewa tani yako, msosi ndo bwerere ila tu utabweteka kuja kushtuka 40 yrs hii hapa na huna kitu.
Mjini muda ni mchache sana, sio dar tu miji mingi iliyochangamka vijana wapenda fursa wamekimbilia huko na kuachana na vijiji walivyozaliwa.
Kingine nachodhani ni sababu, ni kua waafrika wengi ni wavivu, anafanya kazi mpaka apate msukumo fulani. Akiwa anapata kila kitu kirahisi anaridhika na utafutaji wake unapungua, ila mjini ukitaka kizuri basi gharamia, huu ni mjeledi unaofanya kijana achakarike na abuni mbinu ili asurvive.
Kingine no sifa tu kua yupo mjini.
Mara paap nimekumata🤣Mie huo umri wa 20 nagombania huji secondary kumbe wengine mlikuwa mnashika hela wakuukawaida tu, mkoani kwangu napa kubali zaidi.
I made my first 10 m nikiwa 20, mkoani huko.
typing error mkuu, mimi raisi wa ma jobless pro max 😂 🤣Mara paap nimekumata🤣Mie huo umri wa 20 nagombania huji secondary kumbe wengine mlikuwa mnashika hela wakuu
Mkoa upi huo?kawaida tu, mkoani kwangu napa kubali zaidi.
I made my first 10 m nikiwa 20, mkoani huko.
Hii hii mikoa mkuuMkoa upi huo?
Hivi wananchi wa kimara kwa nini wanateseka sana aiseeJidanganyeni mkaishie kugombania mwendokasi za Kimara, hahaha
True na huu ndiyo ukweli,,Mfano mdogo Nipo mkoani na nina kigari cha abiria . Nimefanya tathmini nimekuja kugundua katika miezi 12 hii gari inafanya kazi miezi isiyozidi 6. Huku nilipo Kuanzia mwezi wa 11-3 ni miezi ambayo hakuna abiria kabisaa na mara nyingi gari inapaki home tu. Hii kitu inanivuruga akili sana.Mikoani mishe nyingi Ni za musimu Ila Dar muda wote Ni pesa Na shuhuli za kila aina
Hiyo 10m kwa muda gani?Mkoa upi huo?
MatapeliKuna siri gani imejificha hapa?
Watakuita chizi Kufanya hivyo mkoa. By the way biashara kama hizo hata Dar ni za kichoko tu hufiki popote. Dar pesa ipo Tandika. mbagala na kariakooUkiwa Dar, unatandika kimkeka chako pale kimara mwisho kituoni unaweka zako ndizi mbivu maembe mawili matatu, asubuhi mpaka jioni mzigo umeisha, Kajaribu kufanya hivyo hapo Kilangeni Njombe ulete mrejesho 😀