Kwanini Vijana wengi wanafanikiwa wakija Dar es Salaam kuliko mikoani?

Kwamba sensa imedanganya Kwa hiyo tupate stori za Mabasi?
Kwamba ukija kununua au kuuza mambo ni tip for tat?
 
Ukiwa kwenu huwezi kutembeza Alkasus
Kuna kazi ukiwa kwenu huwezi kuzifanya ila jiji kubwa lenye hekaheka unapiga kila kazi na unajifunza mengi
Ndio maana unakuta tajiri anakuambia nilianza na kubrash viatu
 
Leta facts Yako inayopingana na matokeo ya sensa View attachment 2998577

Pili kwamba wewe unatamani.kuishi Dar au unaishi Dar ? Mimi kote nimeishi na nasisitiza siwezi nasipensi.kuishi Dar labda nilazimishwe na kazi na naweza kuhama
Nimeishi kote piaa
Nipo mkoaa
Dsm sio sehemu yakuishi kwa mimi binafsi kama ni kijana unajitafuta , hilo nakubali
Ila uniambie dsm watu wanaikimbia ? Kuliko wanaoingia?
No bro
 
Nimeishi kote piaa
Nipo mkoaa
Dsm sio sehemu yakuishi kwa mimi binafsi kama ni kijana unajitafuta , hilo nakubali
Ila uniambie dsm watu wanaikimbia ? Kuliko wanaoingia?
No bro
Sikwambii nakupa takwimu kwani wewe hujui kusoma? Hao unaona wengi ni Kwa vile ni magari ya Nchi nzima yanaenda lakini wengi wanaenda Kwa biashara na kugeuza.

Dar ilikuwa zamani wakati Mkoani hakuna kitu,Leo taa za Barabarani ziko Hadi Tarime huko ,shobo na Dar hakuna tena
 
Wewe ndio hujui kusoma
Unatuma statistics ambazo wewe mwenyewe hujazielewa
 
Kwamba sensa imedanganya Kwa hiyo tupate stori za Mabasi? View attachment 2998576
Kwamba ukija kununua au kuuza mambo ni tip for tat?
Mkuu nimesema kwamba dar kuna population kubwa ambayo imejikusanya. Ukitoka kuanzia mbagala mpaka city center ukaenda mpaka tegeta, mbezi, n.k unakutana na makazi ya watu tofauti na uko mikoani population yao imetawanyika sana sehemu inayoitwa mjini ni eneo dogo ukisogea mbele unakutana na mapoli tu mapak ukute makazi ya watu ni mwendo mrefu
 
Ukiwa dsm zingatia
1,money saving.
2,staarehe achana nazo.👈💥💥💥.
 
Alafu tunaomba muwe na heshima acheni ujinga kabisa. Mnaringishia watu mmejenga Dar lakini mvua ikinyesha mnapokezana na watoto kuchota maji ndani usiku kucha Choo nacho kinatapikia kinyesi huko huko
Nyie tulieni Dar mnajisitiri hamjengi
 

nadhani hii pia inaweza kuwa sababu ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…