Kwanini vijiji vingi vya usukumani havina wezi kama kwingineko?

Hasa wenyeji wa pwani na ukanda huo yani ni wadokozi balaa.

darcity Accumen Mo
Jamaa wale ni balaa japo sio wote.
Wanapenda storistori sana. Vijana wa huko wamesaidiwa na ubunifu wa mchina kuleta bodaboda wakapata ajira. Ila wengi hata ukiingia nao makubaliano walime watakuchenga hadi kichwa kiume. Wakati wadagama wenyewe saa tisa usiku unawakuta shambani wameanza kazi.
 
darcity Accumen Mo na akina adriz ni kushinda tu vibarazani wakipinga porojo na umbea. Mikono yao lainiiii. Wakati utajiri hupo shambani.
 
Nimekaa vijiji kadhaa, na kupita katika harakati zangu nimeona tofauti kubwa.

Usukumani ndani kabisa vijijini hakuna wiziwizi wa ajabu.

Huwezi kusikia wizi wa mifugo.
Watu wanaweka magunia ya mipunga bila ulinzi wa kutisha na unayakuta.

Cha ajabu hata vijiji vya wasukuma waliohamia Sumbawanga na Morogoro hivyohivyo.

Unatembea usiku hakuna mtu mwenye hamu ya kukukaba. Ukisahau pembejeo shambani unazikuta.

Jamaa wengi sio wezi, babda utokee ukame na kuwe na baa la njaa. Ila kwingineko huko tunakopitapita jamaa ni wepesi sana, tena ukiwa mgeni lazima uonewe.

Nini chanzo cha hii kitu
Sasa ng'ombe zinaweza kuibiana?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Nimekaa vijiji kadhaa, na kupita katika harakati zangu nimeona tofauti kubwa.

Usukumani ndani kabisa vijijini hakuna wiziwizi wa ajabu.

Huwezi kusikia wizi wa mifugo.
Watu wanaweka magunia ya mipunga bila ulinzi wa kutisha na unayakuta.

Cha ajabu hata vijiji vya wasukuma waliohamia Sumbawanga na Morogoro hivyohivyo.

Unatembea usiku hakuna mtu mwenye hamu ya kukukaba. Ukisahau pembejeo shambani unazikuta.

Jamaa wengi sio wezi, babda utokee ukame na kuwe na baa la njaa. Ila kwingineko huko tunakopitapita jamaa ni wepesi sana, tena ukiwa mgeni lazima uonewe.

Nini chanzo cha hii kitu
Wizi na uchawi haukaii pamoja,ibgfa wakuroge
 
Wizi na uchawi haukaii pamoja,iba wakuroge
 
Usukumani

Kuna falsafa nyingi usukumani mfn unaruhusiwa kuingia shamba ukala zako Ila usiondoke na VITU..

NB.
WAKATI MWINGINE UKICHUMA MAZAO AU TUNDA BILA KUOMBA MWENYE NAYO UNAWEZA KUNGAN'GANIA KWENYE MTI PIA UKICHUMA MAZAO AU TUNDA BILA KUOMBA UNAKUA UMECHUMA ROHO YAKO.
 
Jamaa wale ni balaa japo sio wote.
Wanapenda storistori sana. Vijana wa huko wamesaidiwa na ubunifu wa mchina kuleta bodaboda wakapata ajira. Ila wengi hata ukiingia nao makubaliano walime watakuchenga hadi kichwa kiume. Wakati wadagama wenyewe saa tisa usiku unawakuta shambani wameanza kazi.
😀 😀
 
Nimekaa vijiji kadhaa, na kupita katika harakati zangu nimeona tofauti kubwa.

Usukumani ndani kabisa vijijini hakuna wiziwizi wa ajabu.

Huwezi kusikia wizi wa mifugo.
Watu wanaweka magunia ya mipunga bila ulinzi wa kutisha na unayakuta.

Cha ajabu hata vijiji vya wasukuma waliohamia Sumbawanga na Morogoro hivyohivyo.

Unatembea usiku hakuna mtu mwenye hamu ya kukukaba. Ukisahau pembejeo shambani unazikuta.

Jamaa wengi sio wezi, babda utokee ukame na kuwe na baa la njaa. Ila kwingineko huko tunakopitapita jamaa ni wepesi sana, tena ukiwa mgeni lazima uonewe.

Nini chanzo cha hii kitu
Mmasai mwizi Ni lowasa tu!
 
Sisi ni watu wa kazi kazi sio wauza sura ..mm tu nilipo kua darasa la tatu nilikua napewa eneo na mzee nilime pamba na nikivuna pesa ni yangu.Nyumbani kukuta mtu kamaliza la saba anaoa na kuendesha familia yake vizuri ni swala la kawaida sana.SHUKRANI SANA KWA WAZEE WETU KUTUPA AKILI YA KUPENDA KAZI HASA KILIMO NA UFUGAJI[emoji1423]
 
Sawaa ila muwe mnaoga na nyie bana
 
Mmasai mwizi Ni lowasa tu!
Nasikia wanaamini ngombe wote duniani ni wao. Mwingine akiwanazo amewaibia wao. Mimea yote hadi mazao ni majani tu. Hapo lazima warudishe ng'ombe zao zinazopatikana kwa makabila mengine.
 
Back
Top Bottom