Kwanini vijiji vingi vya usukumani havina wezi kama kwingineko?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]omba usiangukie kwa sungu sungu wale jamaa ni hatari wale wanaweza kukutandika fimbo mbele ya watoto wako na mkeo.Huku pwani watu hawaheshimiani bwana unakuta mzee anasalimiwa hajibu anaona unamzeesha wakati ni mzee anataka ya ujana.Mm mara ya kwanza nilishangaa vijana wanamjambisha mzee na mzee nae anashtuka nikajisemea hiiii ingekua home mmjambishe mzee namna hii naona mnageuka kua gaza fasta.
 
Huku usalama wa Nzengo hua ni imara sana, na Wana adhabu za waziwazi hakuna Cha mtoto wa flan Wala nani.
 
Polisi walijichanganya wakamuweka ndani bi kizee mmoja. Vijana wake hawa walipotinga kituo cha polisi ilibidi wamwachie ajuza wa watu bila maswali. Halafu unategemea kweli mtu ukaibe kitu cha mwingine katika mazingira kama haya? 😁🖐

 
Asili ya Ulinzi wa Sungu Sungu ni wao! Na pia mila zao zina hamasisha watu wake kuwq watu wa amani.Kwenye jamaa ya Wafugaji jamaa zetu toka kule Makao makuu ndo wasumbufu sana.
 
Nimeishi Mwanza hawa jamaa bado wanasheria za kimira ukipita misungwi kwimba mtu mkorofi kwene jamii anachapwa na wazee fimbo.

Pia wana mfumo wa ulinzi shirikishi nilikua naona kwimba ikifika jion vijana na malungu wakk mktaani kulinda
mwaka gani hiyo mkuu na kwimba sehemu gani
 
Ulishaona wezi wanaibiana?
 
Mawazo yangu:Sehemu yoyote ambayo wana vyakula vya kutosha(hakuna njaa)tabia ya wizi na udokozi hakuna.Labda,kwa ndugu zangu Abhakurya kuhusu wizi wa ng'ombe upo damuni.Wanaamini kila ng'ombe aliyepo duniani ni wao Wakurya na hapaswi mtu yeyote kuwamiliki.
HALAFU,Wasukuma/wasugunsu wanaamini sana katika uchawi/ulozi.Kila baada ya nyumba tatu kuna mganga/mchawi.
 
Wasukuma ni kabila la watu waliobarikiwa sana
 
Nilizama chimbo Moja huko katavi wilaya ya mlele huko ndani ndani wanapaita Irunde
Bwanawee kule wanaishi wasukuma wengi kuliko wakoningo ambao ndo wenyeni
Sasa kule ikitokea mwizi akakamatwa adhabu yake niviboko,kuripa faini pamoja nakufukuzwa kijijini usije kurudi Tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…