Hahahahah kwamba serengeti itachacha mkuu?Sababu ni rahisi kinywaji chochote chenye alcohol chini ya 15 kinaweza kuwekwa kwenye friji ila zaidi ya hapo hakina tatizo.
Yaaani ukiifungia K-vant yako leo ukainywa kidogo na usiweke kwenye friji unaikuta na makali yake yaleyale ila jaribu kwa Serengeti Lite yako uone
Mkuu unatumia za bei ndogo
Mkuu unatumia za bei ndogo
umejibu vilivyo, upo sahihi kabisa.Sababu ni rahisi kinywaji chochote chenye alcohol chini ya 15 kinaweza kuwekwa kwenye friji ila zaidi ya hapo hakina tatizo.
Yaaani ukiifungia K-vant yako leo ukainywa kidogo na usiweke kwenye friji unaikuta na makali yake yaleyale ila jaribu kwa Serengeti Lite yako uone
HAHAHAHH 😆😆Acha dharau Bwana mdogo.
Ooohh kumbe,Sababu ni rahisi kinywaji chochote chenye alcohol chini ya 15 kinaweza kuwekwa kwenye friji ila zaidi ya hapo hakina tatizo.
Yaaani ukiifungia K-vant yako leo ukainywa kidogo na usiweke kwenye friji unaikuta na makali yake yaleyale ila jaribu kwa Serengeti Lite yako uone
sijui tuwaulize nini walevi. badala ya kuwaza mambo ya maana unawaza k-vant.Salama wakuu
Ningependa kujuwa sababu za msingi na za kueleweka kuhusu Vinywaji Vikali,, Nimeenda maeneo mengi kunywa ila sijabahatika kukuta asilimia kubwa ya Vinywaji Vikali vikiwa kwenye friji je sababu kubwa huwa ni ipo?
Ningependa kujuwa ni maeneo gani naweza pata K-vant ya baridi au konyagi ya baridi Sana
Asante
Yes...uwezo wangu umeishia hapo mkuuMkuu unatumia za bei ndogo
Hata kinywaji chenye alcohol chini ya 15 kabla hujafungua sio lazima uweke kwenye friji na kinaweza kudumu muda mrefu tu.Sababu ni rahisi kinywaji chochote chenye alcohol chini ya 15 kinaweza kuwekwa kwenye friji ila zaidi ya hapo hakina tatizo.
Yaaani ukiifungia K-vant yako leo ukainywa kidogo na usiweke kwenye friji unaikuta na makali yake yaleyale ila jaribu kwa Serengeti Lite yako uone