Kwanini Vinywaji Vikali ( K-vant, konyagi, valuu n.k) haviwekwi kwenye friji?

Kwanini Vinywaji Vikali ( K-vant, konyagi, valuu n.k) haviwekwi kwenye friji?

MKUU VIPI KUHUSU WINES ULISHAWAHI ONA ZIMEWEKWA KWENYE FRIJI???
Mimi naweka wine kwenye friji I like it when it is cold.

Ila wine ni kwamba jinsi inavyozidi kuka na kuzidi kupitia fermentation ndivyo inazidi kuwa bora.

Ndo maana wine ambazo ni so expensive zimekuwa fermented kwa makumi ya miaka.

So kuweka wine kwenye friji ni kuslow down hiyo fermentation process
 
MKUU VIPI KUHUSU WINES ULISHAWAHI ONA ZIMEWEKWA KWENYE FRIJI???
Yes wines zinakaa kwenye friji kuongeza ladha Kuna wine nyingine ukinywa ya baridi ndo inanoga kuliko ambayo haijawekwa kwa friji
 
Vile vinaitwa vinywaji moto fridge ni kwajili ya vinywaji baridi.
 
Back
Top Bottom