Kwanini Vinywaji Vikali ( K-vant, konyagi, valuu n.k) haviwekwi kwenye friji?

Kwanini Vinywaji Vikali ( K-vant, konyagi, valuu n.k) haviwekwi kwenye friji?

Sababu ya kuwekwa kwenye fridge ni kuweza kupata ladha nzuri zaidi..it's not about pre servation...ukitaka kupata taste nzuri ya wine inywe ikiwa ya baridi...hizo spirits haziwekwei kwenye fridge coz most of them watu hawanywi dry wanachanganya na vinywaji laini ambavyo vinakuja baridi
Kwahiyo hata ikiwekwa hakuna tatizo?
 
Kwanza elewa tofauti ya maji na alcohol, pia elewa kuhusu freezing point za hivyo vimiminika,

maji ni rahisi kuganda kutokana na nguvu za uvutano za molecules zake kuwa karibu sana, katika maji kuna bond ya haidrojeni na oksijen wakati katika alcohol kuna bond za kaboni na haidrojeni ambazo hupelekea ugumu wa kuganda hivyo hivyo kwa vinywaji vikali vyenye alcohol ya asilimia kubwa.
 
I think red wine haziwekwi kwenye fridge ila white zinawekwa, na kuhusu spirit & brandy wanadai huwa zinapasuka ukiweka kwa fridge. Nihayo tuu kwaa kauelewa kangu kadogo.
 
Kikubwa ni Sukari iliyopo kwenye Hivyo vinywaji vingine. Most vina Carbohydrates ambayo ni chakula cha Bacteria.

Kuweka kwenye Friji ni Kupunguza Growth kubwa ya Wadudu walao sukari hiyo. Na Wengi Ili wazaliane wanahitaji Joto so ukiweka kwenye mazingira yenye Joto Uongezeka kwa Sana na Kutengeza Gesi Kubwa Hasa Palw Unapofungua Kinywaji cha Moto

Spirits Most of them ni Anti bacterial hazipendwi na Bacteria Kwahiyo hakuna Haja Ya Kuziweka Kwenye Friji.

Kazi kubwa ya Friji ni Kupunguza Growth ya Bacteria ndio maan Unaweka Vyakula Pia Huko
 
Kuna uzi uko unaitwa mada maalumu walevi na wanywa pombe

Huku kuna manguli wanamajibu ..! Hahaaaa
 
Duh nimeanza kupata sababu za msingi sasa
 
Angalizo : Unaweza kunywa mzinga mkubwa wa k vant baridi ukaona hupati stimu, vita utaikuta mbele ikianza chemka mwilini.
Hiki kitu ndiyo nilichokuwa nawaza ,inawezekana ukanywa hata chupa nzima ikiwa ya baridi
 
Back
Top Bottom