Masokotz JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,713 Reaction score 6,121 Mar 7, 2022 #41 Alex korosso said: Mkuu unatumia za bei ndogo Click to expand... Kwani unafikiri ya bei ndogo ni ubora mdogo?
Alex korosso said: Mkuu unatumia za bei ndogo Click to expand... Kwani unafikiri ya bei ndogo ni ubora mdogo?
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,154 Reaction score 31,246 Mar 7, 2022 #42 Perfectz said: MKUU VIPI KUHUSU WINES ULISHAWAHI ONA ZIMEWEKWA KWENYE FRIJI??? Click to expand... Mimi naweka wine kwenye friji I like it when it is cold. Ila wine ni kwamba jinsi inavyozidi kuka na kuzidi kupitia fermentation ndivyo inazidi kuwa bora. Ndo maana wine ambazo ni so expensive zimekuwa fermented kwa makumi ya miaka. So kuweka wine kwenye friji ni kuslow down hiyo fermentation process
Perfectz said: MKUU VIPI KUHUSU WINES ULISHAWAHI ONA ZIMEWEKWA KWENYE FRIJI??? Click to expand... Mimi naweka wine kwenye friji I like it when it is cold. Ila wine ni kwamba jinsi inavyozidi kuka na kuzidi kupitia fermentation ndivyo inazidi kuwa bora. Ndo maana wine ambazo ni so expensive zimekuwa fermented kwa makumi ya miaka. So kuweka wine kwenye friji ni kuslow down hiyo fermentation process
Santana JF-Expert Member Joined Apr 23, 2019 Posts 300 Reaction score 940 Mar 7, 2022 #43 Perfectz said: MKUU VIPI KUHUSU WINES ULISHAWAHI ONA ZIMEWEKWA KWENYE FRIJI??? Click to expand... Yes wines zinakaa kwenye friji kuongeza ladha Kuna wine nyingine ukinywa ya baridi ndo inanoga kuliko ambayo haijawekwa kwa friji
Perfectz said: MKUU VIPI KUHUSU WINES ULISHAWAHI ONA ZIMEWEKWA KWENYE FRIJI??? Click to expand... Yes wines zinakaa kwenye friji kuongeza ladha Kuna wine nyingine ukinywa ya baridi ndo inanoga kuliko ambayo haijawekwa kwa friji
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,356 Reaction score 38,922 Mar 7, 2022 #44 Vile vinaitwa vinywaji moto fridge ni kwajili ya vinywaji baridi.
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 Mar 7, 2022 #45 Hhahahah double kiki