Kwanini Viongozi huwa wanakaa siti ya nyuma kwenye magari yao?

Kwanini Viongozi huwa wanakaa siti ya nyuma kwenye magari yao?

Mbele ni target rahisi kupigwa risasi ila akikaa katikati ni salama maana Kuna mwendo maalum wa gari kutembea gari ikishambuliwa kwa ubavuni siyo rahisi kuleta madhara kwahiyo bodyguard anavyokaa pale siyo kwamba anapendwa sana ile ni kutolewa sadaka anatakiwa asikae kindezi
 
Ukweli garo zote Classic siti ya nyuma ndio ipo comfortable....

Mbwembwe zote huwa zipo siti za nyuma kwa gari zote Classic...

Ukiacha usalama,,, hio pia ni sababu,,, hata wew ukimiliki gari kali basi siti ya nyuma utakaa bila kuambiwa
 
Back
Top Bottom