Yapo Mambo ukiyaangalia Kwa macho ya ROHONI unatambua Yana fumbo kubwa Sana. Mbowe ni mhalifu aliyekamatwa na serikali ya makini ya awamu ya sita,akafikishwa mahakamani, akasomewa mashtaka, akakana, serikali ikawasilisha ushahidi, ikapata upinzani mara mbili nakupelekea mahakama itoe hukumu ndogo dhidi ya mapingamizi yaliyowekwa, Mhe. Jaji akaonyesha mapingazi yote serikali kupitia Mawakili makini wameshinda....hakuna Kiongozi wa serikali ya awamu ya Tano aliyejitokeza adharani kushangilia utendaji mzuri WA Mawakili wa serikali. Hakuna aliyeandika hata kwenye mtandao wa kijamii kuonyesha kuipongeza mahakama Kwa KAZI nzuri ya kutoa Haki, hakuna chombo kinachomilikiwa na chama au serikali kilichotoka adharani nakutafuta maoni ya Wana CCM na serikali yao kwenye ushindi huu. Hii ni tofauti na kesi nyingine ambazo serikali ushinda, tumezea comments nyingi sana kutoka serikalini lakini this time wote wamekaa kimya hakuna anayetaka kujadili kabisa maamuzi. Najiuliza haya maamuzi anayotoa Jaji kwenye hii kesi kwanini ayapongezwi? Kwanini watu wamenuna hata waliopaswa kushangilia?
Mashahidi wakaendele kutoa ushahidi wao na leo ikatolewa maamuzi kwamba watuhumiwa wote Wana kesi ya kujibu. CHADEMA wakashangilia kwamba mapambano yanaendelea. Upande wa Jamhuri hakuna aliyeshangilia au hata kuthubutu kutabasamu. Walioshindwa wakaonekana wanafuraha KULIKO walioshindwa...what's wrong with you winners? You are discouraging our Prosecutors and Judges for your quietness. Mnamfanya Jaji ajiulize labda ajaeleweka? Mbona anatoa hukumu mnanuna? Hata vyombo vya habari navyo vinaripoti Kwa uoga. Who is Mbowe? Ambaye anaitwa Gaidi lakini Wananchi awapendi ahukimiwe Kwa makosa yake?
Tuachane na Wana CCM kushindwa kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya Tano, twende kwenye MAPOKEO ya maamuzi ya mahakama. Wananchi wanaposhangilia kumpongeza Mtuhumiwa wa Ugaidi unajiuliza nao ni magaidi? Shangwe hizi na nderemo zakumtia Moyo Gaid zinatoka kwa Wananchi Gani? Kama serikali inalinda raia na Mali zao kwanini wasikamatwe wanaoshangilia wahalifu na kuwatia Moyo? Hawa Wananchi kwanini wanapingana na viongozi wa wao.
Mwisho tujiulize, hao watanzania wanaomtuhumu Mbowe kuwa ni Gaidi wapo wapi? Mbona awashangilia ushindi mkubwa kiasi hiki? Mbona ushindi huu umewanyima wananchi amani? Hatuoni kama wenye furaha ni watu wachache sana Tena ambao ukiwaliza furaha Yao inatoka wapi awawezi kukuambia?
Naamini yupo Kiongozi ndani ya top Three za awamu ya sita wangekabidhiwa nchi Cha kwanza wangefuta kesi hii baada ya kuona wananchi wameshindwa kabisa kuyaelewa maamuzi ya Jaji. Kibayazaidi kinachowafanya wananchi washindwe kumwelewa Jaji ni pale anaposoma au kutoa summary ya maamuzi bila kutaja sheria au kanuni, bila kueleza ushahidi upi ulikuwa na nguvu na mazingira au vielelezo Gani vilijitosheeleza. Inshort Jaji alichofanya kikawachanganya wananchi ni pale aliposoma 1.Mashataka,
2. Akasoma watuhumiwa
3. Akasoma majina ya Mawakili,
4. Akasoma majina ya mashahidi,
6. Akasoma vielelezo
7. Akasema yeye binafsi not sheria
8. Ameona watuhumiwa Wana kesi ya kujibu.
Hapa ndipo utata ulipoanzia, kwamba Jaji Hana kifungu Cha sheria, Hana analysis ya kufikia maamuzi na Hana sababu ya kwanini Wana kesi ya kujibu. Hii haijawahi kutokea mahakama Kuu yoyote Duniani may be Tanzania.
Lakini Juzi nilijiuliza siku mbili zinatosha kusoma kurasa 1500? Leo zimeombwa siku sababu za kuandika maamuzi means kutokuonekana analysis yoyote ni matokeo ya kutokusoma. Lakini kilichosomwa leo kimeshindwa kueleweka masikioni mwa wengi Kwa sababu Dunia yenye watu wenye akili ilishaacha kuambiwa. May be ndio maana CCM wanakuwa mabubu kwenye hii kesi maana Awana point yakusimamia labda warushe ngumi
@BeatriceKamugisha
[emoji871]CCM Hawana Tabia za kufurahia matatizo ya wenzao.
Hiyo ni tabia yenu Chadema.
Ushahidi umo humu humu JF.
[emoji871]CCM Hawana tabia za kufurahia vifo vya mahasimu wao wa kisiasa.hiyo ni tabia na hulka yenu chadema.Ushahidi uko humu humu JF.
Wakiwafungulia kesi na kuwaombea wakamatwe na kufungwa.
[emoji871]Ushahidi ni kada mkongwe wa chadema Saed Kubenea na kesi yake dhidi ya Paul Makonda.
[emoji871]CCM Hawana tabia ya kufurahia au kusakama mahasimu wao wa kisiasa wakiwafuatilia kila asubuhi mpaka usiku kucha.
Ushahidi ni wewe #Beatrice Kamugisha na wenzako dhidi ya kina #Halima mdee na wenzake.
[emoji871]CCM Wanaamini kuwa siasa ni utofauti wa itikadi na mitizamo na kuna wakati hali huweza kubadilika na hao hao waliokuwa mahasimu wakajiunga na kufanya nao kazi pamoja.ushahidi ni mawaziri na wabunge kadhaa wa sasa waliowahi kuwa makada wa chadema hapo awali kabla ya kuhamia CCM.
[emoji871]CCM Hawana tabia ya kukusanya mashabiki na kuwakodishia magari kwenda mahakamani kuzomea.
Kama tulivyoona pale Arusha kwa Sabaya.
[emoji871]CCM ina wanachama ambao wana majukumu mengi ya kifamilia.
Hawawezi kupata muda wa kwenda kushabikia mambo yasiyo na tija kwa familia zao.
[emoji871]Mbowe anashitakiwa na Jamhuri na sio CCM.
Iweje sasa kwamba wana CCM waingie mitaani kushabikia au kufurahia Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu?
[emoji871]Hiyo ingetokea kama angekuwa ni mwenyekiti wa CCM.
Ndie amekutwa na hayo masahibu.
Chadema leo ungewaona wakifurahi kila kona.Kuanzia kwenye nyama choma mpaka huku mitandaoni.
[emoji871]Ila nimalizie kwa neno moja......
[emoji871]Mama anajua kucheza karata zake.
[emoji871]Aliwafurahisha sana!
kwa kumtumbua na kisha kumuacha hewani Sabaya.
[emoji871]Kisha akawasikitisha sana kwa kumuachia Mbowe nae Sheria ifuate mkondo wake.
[emoji871]Amewafurahisha sana kwa kukubali kukutana na Makamu mwenyekiti wa chadema.
Mh Lissu kule Ubelgiji.
[emoji871]Lakini amewasikitsha sana kwa kukataa ombi la kumuachia mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Aikaeli Mbowe..
[emoji871]CCM ni wastaarabu na wanawachukulia watanzania wote kama ndugu.
Ushahidi ni jinsi wanavyoshughulika na Mbunge mstaafu wa Chadema aliyelazwa ICU huko Muhimbili kwa sasa.
[emoji871]Ingawa CCM sio malaika ni binadamu wenzetu na kila mmoja anayo hulka yake.hivyo sio wote ni wasafi.
Ndio maana kuna misuguano mikubwa ndani yake saa ingine kuzidi hata iliyopo baina ya CCM na vyama vingine.
[emoji871]Hivyo humo humo CCM kuna baadhi ya kundi la wenye Roho za kifedhuli na kifisadi ambao kwa ujumla wao.
Wanaweza kuwa wanaendesha mambo yasiyokuwa ya kistaarabu na kinyume na sheria za nchi.
[emoji871]Na hao wako radhi kumdhuru yeyote bila kujali ni wa chama chao CCM au ni wa upinzani.wako radhi kushirikiana hata na upinzani nje ya CCM ili tu watimize malengo yao.
Kwao ni maslahi yao kwanza...mengine baadae.
[emoji871]Na hao ndio maadui wakubwa wa nchi yetu .
Watu wa aina hii wako na wanapatikana katika vyama vyote nchini.
[emoji871]Ila ni rahisi kuwabaini walioko CCM,kwa sababu CCM inaongoza nchi na ni rahisi kuwa screen!