Kwanini viongozi pamoja na mishahara mizuri bado wanapewa nyumba na magari?

Rangi 2

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
353
Reaction score
264
Kwanini mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi ma-RPC nk., nk...

Pamoja na mishahara yao minono bado wanapewa nyumba, magari, walinzi, wanalipiwa umeme, maji, matumizi ya simu nk ili hali watu wengine wafanyakazi wengine wa serikali na taasisi zake wanabeba misalaba yao wenyewe?

Why double standards?
 
sababu ni viongozi
 
Mkuu; Hayo uliyotaja Inapewa OFISI sio mtu. Huyo mtu akiondoka (kwa Uhamisho, Kustaafu, Kifo n.k.) Vinabaki Ofisini na kazi inaendelea.
Wanatamba navyo tu lakini sio vyao.
 
Nadhani serikali inataka wasevu mishahara yao kwa ajili ya matumizi ya baadae. Ndio maana Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Spika na Jaji Mkuu hawalipi kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…