Kwanini viongozi pamoja na mishahara mizuri bado wanapewa nyumba na magari?

Kwanini viongozi pamoja na mishahara mizuri bado wanapewa nyumba na magari?

Kuwazuia na matamaa lakini kumbe tofauti kilakitu wanacho ufisadi kwao ni nguzo ya uongozi
 
Kwanini mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi ma-RPC nk., nk...

Pamoja na mishahara yao minono bado wanapewa nyumba, magari, walinzi, wanalipiwa umeme, maji, matumizi ya simu nk ili hali watu wengine wafanyakazi wengine wa serikali na taasisi zake wanabeba misalaba yao wenyewe?

Why double standards?
Tulipokosea ni pale tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma
 
Ukisikia uchawi ndio huu.Sasa wewe umeshasema viongozi ulitaka waishi Manzese?.Kwa taarifa yako wakifukuzwa,kustaafu au kufa familia zao tunakuwa nazo mtaani tunakunywa ugimbi.Nyerere alishtuka kiongozi pekee Africa alihama ikulu kahamia nyumba yake waache
Nani mlikunywa nao ugimbi
 
Nani mlikunywa nao ugimbi
Yule dr alikuwa na degree nyingi mno sasa ni marehemu kikubwa hapa point yangu nafasi zao zinahitaji wapate hizo facility tusiwachungulie uongozi sio jambo rahisi ni mzigo wanatakiwa kukaa sehemu za utulivu
 
Nchi nyingi ipo hivyo,
Relax.
Nchi zote haziko hivyo, tuchukulie Ujerumani ambao kwa Pato wanatupita kwa kila kitu, mbunge analipwa 10,012.89 Euro kwa mwezi na Kanzela analipwa 351,552 Euro kwa mwaka ambayo ni sawa na29,296€ kwa mwezi. Hawa wote wanalipa nyumba kwa Pesa Zao, gari wanayotupia wanapewa leasing, maana yake wanakatwa kila mwezi kwenye mishahara yao
 
Iii wasiwapandishie watumishi wa umma mishahara.
 
Kama unaona ni rahisi na wewe kuwa kiongozi..ili upewe hayo magari na nyumba
 
Kwanini mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi ma-RPC nk., nk...

Pamoja na mishahara yao minono bado wanapewa nyumba, magari, walinzi, wanalipiwa umeme, maji, matumizi ya simu nk ili hali watu wengine wafanyakazi wengine wa serikali na taasisi zake wanabeba misalaba yao wenyewe?

Why double standards?
Kumbuka alichofanya Kingwangala alipokuwa Waziri wa Afya, alifika ofisini alfajiri na kuwazuia getini wale wote waliofika baada ya saa 1:30
 
Kwanini mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi ma-RPC nk., nk...

Pamoja na mishahara yao minono bado wanapewa nyumba, magari, walinzi, wanalipiwa umeme, maji, matumizi ya simu nk ili hali watu wengine wafanyakazi wengine wa serikali na taasisi zake wanabeba misalaba yao wenyewe?

Why double standards?
Stahiki za viongozi.Sema hivi hao viongozi ni wengi Sana kiasi kwamba imegeuka ni mzigo kwa walipa Kodi.
 
Back
Top Bottom