Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Viongozi wa Afrika ni wagumu sana kutembeleana wenyewe kwa wenyewe. Most of time matukio au mikutano inayolenga kuwakutanisha pamoja hapa Afrika utakuwa wapo marais wachache sana, badala yake wengi utuma wawakilishi.
Wakialikwa ULaya au America na baadhi ya nchi za Asia, ni mara chache uone wawakilishi. Wanakwenda in-person tena sometimes kablA hata ya siku ya kikao.
Je, hizi zinaweza kuwa sababu za vikao vyao vingi kukosa utekelezaji wa maazimio wanayoweka? Au wanaamini huku Afrika hakuna maeneo mazuri ya kutembelea baada ya mkutano?