Kwanini viongozi wa chadema hawajudhurii mashindano ya Qur'an?

Kwanini viongozi wa chadema hawajudhurii mashindano ya Qur'an?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Kutwa naona makanisani. Sijawahi kuwaona wakishiriki uwanja wa taifa ktk mashindano au sherehe za waislam. Sio lissu, sio Heche tofauti na ccm, act na chauma
 
20240929_170116.jpg
 
Kutwa naona makanisani. Sijawahi kuwaona wakishiriki uwanja wa taifa ktk mashindano au sherehe za waislam. Sio lissu, sio Heche tofauti na ccm, act na chauma
Nilitaka nipost kukuuliza hivi allah ameshindwa kuihifadhi hiyo quran mpaka nyie binadamu mshindane kuihifadhi? Halafu nikukaribishe tule kitimoto.

Au basi nimeghairi kupost maana huna majibu,hii kitimoto naila peke angu.
 
Attachments

  • 20240919_210842 (2).jpg
    20240919_210842 (2).jpg
    121.5 KB · Views: 1
Nilitaka nipost kukuuliza hivi allah ameshindwa kuihifadhi hiyo quran mpaka nyie binadamu mshindane kuihifadhi? Halafu nikukaribishe tule kitimoto.

Au basi nimeghairi kupost maana huna majibu,hii kitimoto naila peke angu.
Endelerni kukashifu uislam,mkikosa kura,mtasema mumeibiwa.
 
Una nongwa sana na CHADEMA na pia Mh. Tundu Lissu.

By the way, what is so special about that competition!
To you and your level of intellect it may not be special but think of social interaction
Samia has been to churches and it's gatherings several times for your information and she is a Muslim and Mbowe has previously been to Islamic functions like Iftar.
 
Endeleeni kuwaita waislamu wajinga,mkikosa kura zao na mkashindwa,mtajidanganya kwa ujinga wenu,na kusema mumeibiwa,kura.

Kwani wewe ni muislam? Wewe ni mjinga unayeokoteza hoja za kijinga. Uliambiwa na nani kuwa waislam ni wajinga kama wewe?
 
To you and your level of intellect it may not be special but think of social interaction
Samia has been to churches and it's gatherings several times for your information and she is a Muslim and Mbowe has previously been to Islamic functions like Iftar.

Hakujawahi kuwa na mashindano ya kusoma biblia ambako Samia alihudhuria. Samia amewahi kuhudhuria kwenye matukio ya kawaida ya taasisi za wakristo, na haendi tu, anaalikwa.

Weka hapa barua za mialiko waliyopewa viongozi wa CHADEMA. Ninyi wenye kuleta hoja za kipuuzi namna hii, siyo waislam japo yawezekana mna majina ya kiislam. Kiuhalisia ninyi ni chawa wajinga mnaotafuta mahali pa kuwakosoa hao viongozi wa CHADEMA, lakini kwa sababuni muwajinga, mnashindwa kutafuta hoja zenye mantiki.
 
Back
Top Bottom