Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Kutwa naona makanisani. Sijawahi kuwaona wakishiriki uwanja wa taifa ktk mashindano au sherehe za waislam. Sio lissu, sio Heche tofauti na ccm, act na chauma
Mkuu kwani Lisu na Heche ni chama cha siasa???
Hata hivyo kuhudhuria kwenye jambo lolote huendana na mualiko.
Mkuu una uhakika kuwa, huwa wakialikwa huwa hawaendi???