chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ukaribu wa Sugu na balozi wa Marekani ni wa kiwango cha "infomer" au agent wa taifa hilo. Kila chadema wakipanga tukio, huwa linatanguliwa na balozi wa Marekani na Sugu kukutana. Possibly Sugu pia ni carrier anayelink chadema na ubalozi huo.
Wengine wanasema kwamba akiwa anatoka katika ubalozi huo, huwa anatoka na ka mkoba au kiroba, labda ni cha hela, na kwa sasa hivi, labda za kufadhili (vurugu? ) wakati wa uchaguzi wa mitaa.
Tuliona maandamano haramu ya mbeya, yalitanguliwa na balozi kulala kwenye majengo ya Hoteli ya Sugu(Desderia-Mbeya). Sasa sijui alipeleka hela ambazo zilitumika kukodi Costa za kuwapeleka wanachadema wa nchi nzima mkoa ni Mbeya na kuwalipa posho za safari. Wazee wa kitengo "wakausoma" Mchezo, wakawachekecha. Na vigogo wa CDM "wakaziminya" Hela zilizobaki.
Chadema walitarajiwa waunge mkono mataifa kama Palestine na Lebanon. Kinyume chake, chama hicho kiko mezani kinakula na chinja chinja wa dunia. Taifa linalouza mabomu ya kilo 800 kuua watoto wachanga huko Lebanon na Gaza.
Hivi taifa hilo linalofadhili mauaji dunia nzima ndio lilienda kupiga yowe na kumsalimia Sugu "aliyepapaswa" tu na polisi wakati wakimsihi asivuruge amani. Hivi kwa kiwango cha mauaji yanayofanywa na Marekani, urafiki wao na chadema unatokana na nini?.ndio hii chadema kweli? Chadema wanpata wapi moral authority kukemea mauaji wakati mchana na usiku wanakula na kunywa na muuaji wa mamia ya mamilioni ya wanadamu