kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Use your brain WTF!!Ukaribu wa Sugu na balozi wa Marekani ni wa kiwango cha "infomer" au kwa kiingereza, agent wa taifa hilo. Kila chadema wakipanga tukio, huwa linatanguliwa na balozi wa Marekani na Sugu kukutana. Possibly Sugu pia ni carrier anayelink chadema na ubalozi huo.
Tuliona maandamano haramu ya mbeya, yalitanguliwa na balozi kulala kwenye majengo ya Sugu. Sasa sijui alipeleka hela ambazo zilitumika kukodi Costa za kupeleka wanachadema Mbeya na kuwalipa posho za safari. Wazee wa kitengo "wakausoma" Mchezo, wakawachekecha.
Chadema walitarajiwa waunge mkono mataifa kama Palestine na Lebanon. Kinyume chake, chama hicho kiko mezani kinakula na chinja chinja wa dunia. Taifa linalouza mabomu ya kilo 800 kuua watoto wachanga huko Lebanon na Gaza.
Hivi taifa hilo linalofadhili mauaji dunia nzima ndio lilienda kupiga yowe na kumsalimia Sugu "aliyepapaswa" tu na polisi wakati wakimsihi asivuruge amani. Hivi kwa kiwango cha mauaji yanayofanywa na Marekani, urafiki wao na chadema unatokana na nini?.ndio hii chadema kweli? Chadema wanpata wapi moral authority kukemea mauaji wakati mchana na usiku wanakula na kunywa na muuaji wa mamia ya mamilioni ya wanadamu
Pumbafu unatumia hadi picha za watu unachafua watu kwa upuuzi wa ubongo wako ulosinyaa!!
A real man will not do such a sht!!! You must be a Diddy ambassador...