Kwanini viongozi wa CHADEMA wako karibu mataifa yanayounga mkono uonevu?

Use your brain WTF!!
Pumbafu unatumia hadi picha za watu unachafua watu kwa upuuzi wa ubongo wako ulosinyaa!!
A real man will not do such a sht!!! You must be a Diddy ambassador...
 
Jambo lolote likifanywa na ccm ni jema kwa wana ccm,hata liwe la kipuuzi!
 
Sugu trained as CIA agent so long hata serkali inajua ndio chanzo cha utajiri wake na kujiamini ndio maana jmp aliwashuglikia wakamshuglikia

USSR
 
Ungana na Mkubwa uwe mkubwa,unataka uungane na Palestina uumie
 
Use your brain WTF!!
Pumbafu unatumia hadi picha za watu unachafua watu kwa upuuzi wa ubongo wako ulosinyaa!!
A real man will not do such a sht!!! You must be a Diddy ambassador...
Diddy anatoka kwa balozi, mbona unaingilia uhuru wa maoni?
 
Sugu trained as CIA agent so long hata serkali inajua ndio chanzo cha utajiri wake na kujiamini ndio maana jmp aliwashuglikia wakamshuglikia

USSR
I verily believe
 
Chadema walitarajiwa waunge mkono mataifa kama Palestine na Lebanon. Kinyume chake, chama hicho kiko mezani kinakula na chinja chinja wa dunia. Taifa linalouza mabomu ya kilo 800 kuua watoto wachanga huko Lebanon na Gaza.
Kwani kuna siku serikali ya CCM imeilaani Israeli yenyewe, na USA kutoa silaha kwa Israel katika kuwaua Wapalestina? Au Germany? Na vipi mauaji yanayofanywa na Urusi huko Ukraine, Morocco dhidi ya Sahara Maghalibi, Museveni dhidi ya wapinzani nk?

Vitu kama hivi Nyerere hakumung'unya maneno. Alisema waziwazi tunalaani, bila kujali kama vilifanywa na watu aliowaona ni rafiki zake. CCM wana ubavu wa kumwambia Museveni anakiuka haki za wapinzani? Na wataanzia wapi ikiwa CCM wenyewe nao wanakiuka?

Bata akifanya ni sawa, ila kuku akifanya ni tatizo, sivyo?
 
Marekani ndio ilifanikisha mauaji ya Patrice Lumumba, achana na kibao ambaye mlikuwa mnagombea wanawake huko kwenye chama chenu
Mzee wa miaka 70 agombee demu! Endelea kukejeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…