Kwanini Viongozi Wa Majirani Zetu Wanawaabudu Wazungu Hivi?

MwendaOmo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
774
Reaction score
723
Yaani ukiwasikia mapumba ambao huja hapa kutuambia eti Kenya imemilikiwa na wazungu utadhani kwamba wao wako very independent. Kwanini viongozi nchini kwenyu wamejitokeza kuwatetea hawa mashoga ya kufi.rana? Hehehe. Jana ni Wizara ya mambo ya nje, leo Waziri wa ndani. Yaani kila mtu anababaika tu eti mzungu ametoa barua.

Ila baada ya kusoma article fulani ndio nikajua sababu. Tanzania receives the largest AID per-capita in the whole of sub-saharan Africa. Yaani msaada unaoingia TZ per person ni mwingi kushinda wa taifa lolote lile Africa.

Anyway, hili si la kuwakejeli ndugu zetu, ila ni kuwakumbusha tu msiwe mnaishi kwa bubble eti nyinyi mumejitawala. Viongozi wenyu ni watumwa wa kuonewa huruma. Hata Kenya, Ruto na Raila walipowatusi mashoga, hakuna aliyejitokeza kuwapinga. Ila huko kwenyu? Daah
 
Jamii ya kutembeza vibakuli lazima wangelinda what they are good at...kutembeza bakuli.
 
Watakuambia 'waliikomboa' Afrika ilhali wenyewe hawajajikomboa, yaani nimeshangaa viongozi wao kila mmoja anakimbilia kwenda kwenye vyombo vya habari kutetea nchi mapema kabla kipodo cha wazungu hakijawashukia kisa waliwasema vibaya masho.ga.
Tatizo lao kubwa kiherehere cha kutaka kutunisha misuli dhidi ya wanaowapa misaada, wanasau maskini hana jeuri, maskini ni mtumwa, maskini hana usemi wowote, maskini lazima ashikishwe ukuta maana hamna namna, yaani umaskini ni kitu kibaya sana na mara nyingi hutokana na uzembe, kwa kifupi umaskini wa Tanzania ni wa kujitakia tu, wana kila kitu yaani madini ya kumwaga, bahari, maziwa kote kote, vivutio bora vya utalii bora kuzidi Afrika yote, amani na utulivu (japo matukio kimya kimya).....yaani Tanzania ndio ilifaa kuongoza Afrika kiuchumi, lakini inatajwa kwenye nchi maskini wa kutupwa mbali kuleee....

Ujamaa uliwalemaza ndugu zetu hawa......na itachukua vizazi hadi vizazi kabla kuja kuamka.
 
leading exporters of beggars...kwanza wacha hata wazungu, Afrika Kusini hawa bongolala wanaiabudu kama Mungu
 
Watakuambia 'waliikomboa' Afrika ilhali wenyewe hawajajikomboa, yaani nimeshangaa viongozi wao kila mmoja anakimbilia kwenda kwenye vyombo vya habari kutetea nchi mapema kabla kipodo cha wazungu hakijawashukia kisa waliwasema vibaya masho.ga.
Tatizo lao kubwa kiherehere cha kutaka kutunisha misuli dhidi ya wanaowapa misaada, wanasau maskini hana jeuri, maskini ni mtumwa, maskini hana usemi wowote, maskini lazima ashikishwe ukuta maana hamna namna, yaani umaskini ni kitu kibaya sana na mara nyingi hutokana na uzembe, kwa kifupi umaskini wa Tanzania ni wa kujitakia tu, wana kila kitu yaani madini ya kumwaga, bahari, maziwa kote kote, vivutio bora vya utalii bora kuzidi Afrika yote, amani na utulivu (japo matukio kimya kimya).....yaani Tanzania ndio ilifaa kuongoza Afrika kiuchumi, lakini inatajwa kwenye nchi maskini wa kutupwa mbali kuleee....

Ujamaa uliwalemaza ndugu zetu hawa......na itachukua vizazi hadi vizazi kabla kuja kuamka.

Yaani mi hujikaza sana ili nisiseme kibaya kuhusu ndugu zetu lakini wakati mwingine hushindwa. Naamini wapo wengi ambao wanashangaa na huu upumbavu wa serikali yao. Huku Kenya sisi hujua viongozi wetu ni wezi na wanyang'anyi. Lakini hawa jamaa ni kama wako 1990's. Kila kitu Mheshimiwa Rais. Ohh Mheshimiwa Rais. Yaani ni kama kumuabudu na hawawezi kupinga chochote anachokifanya. Yaani hata kama simpendi Uhuru, lakini nimemuheshima alipotupilia mbali debate za ushoga alipoletewa kule CNN. Sijui Huyu John Pumba angefanyaje.
 
Hakuna mzungu anayeogopewa Tanzania, mawaziri wanalinda haki za watanzania sio haki za wazungu. Ushoga bado ni kosa Tanzania, na ukuweka mambo machafu hadharani hata kama ni mapezi ya kawaida (mume na mke), sheria itakuadhibu tu. Wenzetu mmefukuza wakenya kwenye ardhi yao ili kuwapa wazungu waweke majeshi yao.
 
Huyu rais wa Tanzania amewashika kenya pachungu sana, sijaona wakenya kupaparika kwa rais wa Tanzania tokea enzi za Nyerere. Kenyatta anasema tu kwenye media, siku mashoga wa kenya wakiamua kujiachia wazi wazi ndio tutajua kama ana ubavu au la.
 
Hakuna mzungu anayeogopewa Tanzania, mawaziri wanalinda haki za watanzania sio haki za wazungu. Ushoga bado ni kosa Tanzania, na ukuweka mambo machafu hadharani hata kama ni mapezi ya kawaida (mume na mke), sheria itakuadhibu tu. Wenzetu mmefukuza wakenya kwenye ardhi yao ili kuwapa wazungu waweke majeshi yao.
Acha kueneza propaganda. Vikosi vya BATUK, ambavyo uwezo wao ni wa mafunzo na mazoezi pekee yake vipo kwenye ardhi ya Kenya Airforce kwenye mji wa kijeshi tangu jadi, Nanyuki.
 
Wakati mkoloni anakuja hiyo ardhi nilikuwa mbuga? Kwani wako hapo kujifiunza halafu wanaenda kwao kunywa chai na kulala? Hao hao mwisho wa siku unawakuta Afghanistan au Iraq.
 
Alafu? Kwani kazi ya vikosi kama hivyo vya kijeshi ni nini? Si ni vita? Huwa wanafunzwa kupika ugali au? Ardhi ya Kenya Airforce, ambayo wanaitumia kujifunza na kufanya mazoezi serikali ya Kenya haikuinyakua, iliipata kama vile ambavyo vikosi vya Tz huwa vinapata ardhi yao. BATUK maana yake ni British Army Training Unit in Kenya sio 'base' ya kijeshi.
Juzi juzi vikosi vya kijeshi vya Russia na China vimefanya mazoezi kwa pamoja, mazoezi yale makubwa ambayo yamewai kutokea duniani. Kama wavunja matofali wenu huwa wanafanya mazoezi na warundi hiyo ni shauri yenu. Jielimishe kuhusu haya masuala bana acha kuruka ruka ovyo ovyo.
 
Alafu? Kwani kazi ya majeshi ni nini? Si ni vita? Mafunzo huwa wanafanyiwa ya kupika ugali au? Ardhi ya Kenya Airforce ambayo wanaitumia kujifunzia na kufanya mazoezi serikali ya Kenya haikuinyakua, iliipata kama vile ambavyo vikosi vya Tz huwa vinapata ardhi yao. BATUK maana yake ni British Army Training Unit in Kenya sio base ya kijeshi.
Juzi juzi vikosi vya kijeshi vya Russia na China vimefanya mazoezi ya pamoja, mazoezi yale makubwa ambayo yamewai kutokea duniani. Kama wavunja matofali wenu huwa wanafanya mazoezi na warundi hiyo ni shauri yenu. Jielimishe kuhusu haya masuala bana acha kuruka ruka ovyo ovyo.
Hebu rudi nyuma ujikumbushe Kenyatta alisema nini wakati wa uchaguzi wa 2013? Wanajeshi wangapi walingia Kenya na zana zao kali pale sarakasi za kisiasa zilipoanza kuonyesha dalili ya kujirudia?
 
Yaani ukiwasikia mapumba ambao huja hapa kutuambia eti Kenya imemilikiwa na wazungu utadhani kwamba wao wako very independent. Kwanini viongozi nchini kwenyu wamejitokeza kuwatetea hawa mashoga ya kufi.rana? Hehehe. Jana ni Wizara ya mambo ya nje, leo Waziri wa ndani. Yaani kila mtu anababaika tu eti mzungu ametoa barua.

Ila baada ya kusoma article fulani ndio nikajua sababu. Tanzania receives the largest AID per-capita in the whole of sub-saharan Africa. Yaani msaada unaoingia TZ per person ni mwingi kushinda wa taifa lolote lile Africa.

Anyway, hili si la kuwakejeli ndugu zetu, ila ni kuwakumbusha tu msiwe mnaishi kwa bubble eti nyinyi mumejitawala. Viongozi wenyu ni watumwa wa kuonewa huruma. Hata Kenya, Ruto na Raila walipowatusi mashoga, hakuna aliyejitokeza kuwapinga. Ila huko kwenyu? Daah
😀😀😀ni nchi ya wanafiki .
 
Hebu rudi nyuma ujikumbushe Kenyatta alisema nini wakati wa uchaguzi wa 2013? Wanajeshi wangapi walingia Kenya na zana zao kali pale sarakasi za kisiasa zilipoanza kuonyesha dalili ya kujirudia?
Sina muda wa stori za vijiweni. Natizama Mission Impossible: Fallout, na mbebez hapa. 😎
 
Back
Top Bottom