ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Je mliosomea Sheria mtusaidie, ni Sheria Gani ya nchi inayosema Fedha zinazokusanywa na serikali Kwa niaba ya wananchi ni za Rais, Je kipengele Gani kinachosema Fedha tunazoangaikia kufanya kazi Kila siku na kuilipa Kodi serikali zitakuwa ni Rais.
Haiingii akilini ,kitu pesa yangu nalipia Kodi Kwa ajili ya ustawi wa nchi yangu kumbe serikali inaenda kummilikisha raisi. Namna hii nani atalipa Kodi, kumbe basi msiite Kodi iteni michango ya Rais.
Kuanzia Sasa Kodi na mikopo inayokuja nchini ibadili jina muite michango na mikopo ya raisi. Haiwezekani sisi tutoe Kodi mseme ni Fedha za Rais. Hii Sijawahi kuona katika nchi yoyote dunia hii .
Hata mabeberu Marekani hawana staili hii ya kuwa Fedha za Kodi ni za wananchi
Haya mambo ndo yanaleta ufisadi kwasababu mnasema mtu ni Fedha zake, akiamua kuzichukua akawapa ndugu zake mtamlaumu , hii nchi mbadili Sheria na muandike wazi kuwa hii nchi ni ya Rais na sisi ni wapangaji, pia Fedha zote za hazina na zinazoingia hazina ni Fedha za Rais. Sisi ni vijakazi kutumika na kumchangia Rais, machozi yananitoka