Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Najaribu kutafakari namna Viongozi wetu wenye CV nzuri na waliozunguka dunia wanavyoishi wakipewa madaraka. Ni viumbe wanaoongeza kwa kudanganya na kujidanganya. Pamoja na maisha yote waliyoishi DUNIANI Bado wapo tayari kuishi Kwa uongo uongo wakiamini na wananchi wanadanganyika.
Tulitegemea kutembea kwao nje kuzalishe Suluhu ya kudumu ya matatizo yetu Kwa kusema ukweli pale mambo yanavyokwenda kinyume lakini wao kila Jambo kwao ni yes yes as long limetoka kwa anayemzidi cheo. Lakini pia kila Jambo Kwa ni no no no as long as linatoka kwa aliyepo chini yake au mpinzani wake kisera na kisiasa.
Mwakyembe aliwahi kutukana watu wasiona elimu kubwa lakini muulize yeye elimu yake kubwa imesaidiaje nchi. Kabood ametudanganya mambo mengi ikiwemo covid na dawa ya madagasca lakini kama taifa tujiulize amewahi kubuni nini chenye manufaa kwa Taifa? Tukisema amefundisha wanafunzi je hakuna ambao hakuwafundisha na walifaulu? Je alifundisha vyakwake au alifundisha alivyofundishwa? Nini special amefanya Kwa elimu yake?
January amekuwa kwenye mfumo miaka mingi, anaelewa kila kitu kuhusu umeme lakini Juzi katoka kutudanganya kuhusu mgao wa umeme. Alishindwa nini kutumia elimu na maarifa kusema maji yamepungua?
Zitto kabwe knows challenges za nchi hii but unaangalia anavyoyumba na upepo wa kisiasa. Tuna kitila mkumbo Waziri, najaribu kuona kwenye viwanda amefanya nn? Mwijage alitupiga propaganda ya Tanzania ya viwanda ukivitafuta leo hakuna .....kuna uhusiano gani Kati ya wasomi na wenye madaraka Tanzania na silka ya uongo? Au tuseme Tanzania uongo ni asset??
Kuna watu wanasema adharani katiba siyo kipaombele lakini hao hao walikuwepo kwenye bunge la katiba, unajiuliza hawa watu Wana matatizo gani? Let assume Mhe. Rais akasema Katiba ni muhimu wao watathubutu kumpinga? Na kama awatampinga wao Wana au wanaaminiahwa?
Kwanini uongo unapewa nafasi kubwa na viongozi wakuu wakitaifa? Wananufaikaje?