Kwanini Visiwani ambayo ni 1/383 ya JMT ina haki sawa na Bara?

Kwanini Visiwani ambayo ni 1/383 ya JMT ina haki sawa na Bara?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1747066638931.png

Tanzania Visiwani au Zanzibar ina ukubwa wa 2,462 km za maraba ikilinganishwa na Bara yenye ukubwa wa kilometa za mraba 944,841 ni sawa na 1/383.

Je ni haki kwa sehemu hizi kuwa na haki sawa? Je nani anamnyonya au kumtumia nani? Je nini kifanyike kutenda haki kulingana na ukubwa na mchango wa sehemu katika serikali ya muungano?

Kwanini Wazanzibari wana uraia wao lakini watanganyika hawana? Mzanzibari ni mzanzibari bila Tanganyika ila Mtanganyika siyo Mtanzania bila Zanzibari.
 
View attachment 3331935

Tanzania Visiwani au Zanzibar ina ukubwa wa 2,462 km za maraba ikilinganishwa na Bara yenye ukubwa wa kilometa za mraba 944,841 ni sawa na 1/383. Je ni haki kwa sehemu hizi kuwa na haki sawa? Je nani anamnyonya au kumtumia nani? Je nini kifanyike kutenda haki kulingana na ukubwa na mchango wa sehemu katika serikali ya muungano? Kwanini Wazanzibari wana uraia wao lakini watanganyika hawana? Mzanzibari ni mzanzibari bila Tanganyika ila Mtanganyika siyo Mtanzania bila Zanzibari.​

Waulizwe CCM, hao CCM akili zao ni KUIBA KURA tu
 
Back
Top Bottom