Changalucha
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 508
- 593
Kwani na wewe ni mtoto? Vile viliandikwa kwa ajili ya watoto Mkuu. Ni sawa na mtu mzima kuangalia vikaragosi vya Tom na Jerry. Sasa sisi wahenga huwa tunavisifia kwa sababu vinatukumbusha utotoni.Nirudi kwenye mada kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimesoma baadhi ya vitabu vya Kiswahili vya kizamani kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Bunuasi, Safari ya Bulicheka na Mkewe, Alibaba na Wezi 40, Kusadikika na vingine vingi lakini kiukweli nimeshindwa kuvielewa naona kama maudhui yake si ya mtu mzima!
Nimesoma vingi sana baada ya miaka mingi kuona humu JF watu wakivisifisia sana. Hivi vitabu au vimelenga wazee? Au me ndo akili ndogo?
Havijanivutia kabisa yaan ni vitabu vya kitoto