Kwanini Vitabu vya zamani vina maudhui ya kitoto sana?

Kwani na wewe ni mtoto? Vile viliandikwa kwa ajili ya watoto Mkuu. Ni sawa na mtu mzima kuangalia vikaragosi vya Tom na Jerry. Sasa sisi wahenga huwa tunavisifia kwa sababu vinatukumbusha utotoni.
 
Ni wazi sio mdau wa fasihi hivyo sio makosa yako umeshindwa kuchambua maudhui
Wac
 
Mkuu,

Achana na hivyo, mimi nimerudia kusoma vitabu vya Willy Gamba nikaviona vimepwaya sana. Viko so predictable and formulaic, so implausible.

Ile ilikuwa ni enzi ya kabla ya internet, kabla ya TV, kabla ya watu wengi kujua Kiingereza na kusoma vitabu vingi zaidi.

Na vike vitabu ni fables zikizotafsiriwa, vilikusudiwa kwa watoto na watu wa simple societies.

Sasa hivi hata ukimsoma Shaaban Robert utaona kaandika kama mtu wa karne nyingi zilizopita, wakati hata miaka 100 haijafika.

Dunia yetu ilikuwa so slow, na kwa upande mwingine mpaka leo iko that slow vijijini huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…