Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Kabisa mkuuNimeileta mada ambayo tayari nina upande.
Naamini una elimu kidogo mkuu,hivyo unajua maana ya ninachokiongelea.
Ni mada ambayo nimeileta katika mtindo wa swali.
Katika mada hii,mimi naamini Bernardo Silva alikuwa na msimu bora kuliko VVD na Salah.
Elimu yangu ni ndogo ngoja tuwaache nyie wenye elimu mkubwa [emoji28]