Kwanini VVD,Alison Becker na Salah na sio Bernardo Silva?

Kwanini VVD,Alison Becker na Salah na sio Bernardo Silva?

Toka 2009 mchezaji Bora wa Dunia anachaguliwa kwa umaarufu na sio kiwango hivyo usitafute logic kwenye shindano ambalo watu wanapiga kura.

Subiria hao waandishi wa habari, macaptain na wadau wengine wa michezo wakipiga kura na FiFa wakiingiza kura zao feki ndio utamjua Mchezaji wa Dunia.

Hii tuzo ilishapoteza credibility muda tu.
 
Back
Top Bottom