Kwanini vwanja vimekuwa bei sana kweye Mji wa Arusha

Kwanini vwanja vimekuwa bei sana kweye Mji wa Arusha

Kingdom78

Member
Joined
May 31, 2015
Posts
72
Reaction score
77
Mji wa Arusha viwanja kwasasa vimepanda bei sana hasa maeneo ya Kiseriani na Moshono, Loswirai. Vipi ndugu zetu wa mkonoo kuna shida gani bei za viwanja zipo chini sana na maendeleo yako down sana shida nini maeneo hayo?

Nawasilisha
 
Mji wa arushaa viwanja kwasasa vimepanda bei sanaa.. Hasa maeneo ya kiseriani na moshono loswirai.. Vipi ndugu zetu wa mkonoo kuna shida gani bei za viwanja zipo chini sana na maendeleo yako down sana shida nini maeneo hayo.... Nawasilisha
Arusha mjini na arumeru kidogo viwanja ni bei nje ya hapo nimambuga na mapori na mashamba unaweza pata ata plot kwa laki
 
Mji wa Arusha viwanja kwasasa vimepanda bei sana hasa maeneo ya Kiseriani na Moshono, Loswirai. Vipi ndugu zetu wa mkonoo kuna shida gani bei za viwanja zipo chini sana na maendeleo yako down sana shida nini maeneo hayo?

Nawasilisha
Kwetu kijijin nilipojenga kibosho ukipata heka kwa milion 80 ukashukuru
 
Back
Top Bottom