Voltaire
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 1,231
- 1,189
Kelele zimekuwa nyingi kuhusu kikokotoo, hamna kauli dhabiti iliyotoka toka kwa "Vyama vya Wafanyakazi".
Kazi ya hivi vyama binafsi siioni zaid ya kuvalishwa sare na kuandamana Mei Mosi, serikali tafadhali ongeza kikokotoo mara buku hadi akili ziwakae!
Kila mtu analalamikia chumbani kwake, hakuna hatua yoyote, COSATU ikawe desa lenu!