Kwanini vyeo wanapewa ambao tayari wameshapata mafao ya kuwawezesha kufanya uwekezaji au kuishi bila hata kufanya kazi?

Kwanini vyeo wanapewa ambao tayari wameshapata mafao ya kuwawezesha kufanya uwekezaji au kuishi bila hata kufanya kazi?

Kama kuna dude linalofanya vetting ya viongozi, dude hili ndio adui mkubwa wa maendeleo ya Mtz, it should be cut off! Madude haya yanayotoa ushauri kwa mamlaka za uteuzi ni janga.
Dude linalofanya vetting ni sisi wananchi wenyewe. Usidanganyike kuna watu wengine wanafanya vetting. Sisi wananchi tunafanya vetting kwa kukubali kuendelea kuongozwa na hawa hawa waliotufikisha hapa. Nakuapia nchi nzima au hata asilimia 60 tu tukiamua kukataa haya ni siku moja, kutakuwa na mabadiliko. Ubaya ni kuwa hatujui nguvu yetu au pengine hatujua chanzo cha matatizo yetu. Kma walivyosema wahenga, haki hailetwi kwenye kisahani, haki hudaiwa kwa jasho.
 
Back
Top Bottom