Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Yaani inasikitisha sanaNi ujinga wa mteuzi kutegemea results kutoka kwa failures!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani inasikitisha sanaNi ujinga wa mteuzi kutegemea results kutoka kwa failures!.
Asha Rose migiro alisahau nini seikalini?Kwa mfano Anna Makinda hadi Leo ni mshauri WA Sensa na ni aibu Sana mambo haya
This might be trueCCM ina mtandao wake wa majizi hivyo lazima wazunguke humo humo
Dude linalofanya vetting ni sisi wananchi wenyewe. Usidanganyike kuna watu wengine wanafanya vetting. Sisi wananchi tunafanya vetting kwa kukubali kuendelea kuongozwa na hawa hawa waliotufikisha hapa. Nakuapia nchi nzima au hata asilimia 60 tu tukiamua kukataa haya ni siku moja, kutakuwa na mabadiliko. Ubaya ni kuwa hatujui nguvu yetu au pengine hatujua chanzo cha matatizo yetu. Kma walivyosema wahenga, haki hailetwi kwenye kisahani, haki hudaiwa kwa jasho.Kama kuna dude linalofanya vetting ya viongozi, dude hili ndio adui mkubwa wa maendeleo ya Mtz, it should be cut off! Madude haya yanayotoa ushauri kwa mamlaka za uteuzi ni janga.
Hakuna kifichoThis might be true