Kwanini Waafrica wengi waliokua brainwashed wanaamini Kupunguza Idadi ya watu ndio suluhisho la umasikini??

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Nitajie nchi mmoja ambayo ni super power yenye watu wachache?? Nchi itoke kwene top 20 za nchi zenye watu wachache??

Nitajie nchi moja yenye nguvu zaidi kijeshi yenye watu wachache??
Nitajie nchi yenye ushawishi mkubwa yenye watu wachache??

NB:Idadi ya watu Inauhusiano na Maendeleo na Kuwa taifa kubwa duniani

Zaeni zaeni zaeni ila muweze kuwalisha na kuwahudumia
 
Ngoja waje falasha shauri zako

Kuna mkenya alilalamika na kusema baada ya miaka 30 wasomali wataitawala Kenya kwa nguvu watakazokua nazo kifedha na kuelimu pia ingawa nao ni wakenya

Akasema wakenya wanaambiwa na wanasiasa wasizae sana watakosa chakula cha kuwalisha, huku wasomali wanazaana kumi kumi
Hoja yako ina ukweli isikilizwe
 
Ujerumani ukikosa kazi unalipwa asilimia 80 ya mshahara wako. Ukilipa 49Euro (134632 Tshs) unatumia usafiri wa umma kwenda sehemu yeyote ya nchi kwa mwezi mzima. Ukizaa mtoto serikali inakulipa kila mwezi kwa kila mtoto mpaka napofikisha miaka 25 na Elimu ni Bure mpaka chuo kikuu. Haya yote yamewezekana kwa sababu idadi yao ya watu inaendena na GDP yao. Zaa kadri ya uwezo wako usizae ukawaachia watoto serikali. Utatujazia wavuta bangi na makahaba mtaani.
 
Alikua sahiii hii
 
Wanasiasa wanatetea matumbo yao kwa kuongea vitu vya kuwafurahisha na kuepuka kuwakera baadhi lakini ukweli ni mchungu
 
Ujerumani ukikosa kazi unalipwa asilimia 80 ya mshahara wako. Ukilipa 49Euro (134632 Tshs) unatumia usafiri wa umma kwenda sehemu yeyote ya nchi kwa mwezi mzima. Ukizaa mtoto serikali inakulipa kila mwezi kwa kila mtoto mpaka napofikisha miaka 25 na Elimu ni Bure mpaka chuo kikuu. Haya yote yamewezekana kwa sababu idadi yao ya watu inaendena na GDP yao. Zaa kadri ya uwezo wako usizae ukawaachia watoto serikali. Utatujazia wavuta bangi na makahaba mtaani.

GDP inatengenezwa na watu kwa kuwepo kwa Labour force,,,
 
Nchi 20 zenye watu wachache zaidi duniani Vs Uchumi wao.

1.Marshall Island -59,618–GDP 259Million (2021)

2. Tuvalu 11,204 ————-GDP 63 Million(2021)

3.Austria 8 Million

5.Guyana

6.Mongolia 3,278,290————-GDP 17 Billion
7.Nauru
8.Palau
9.Vatican city
10.Greenland
 
Nitajie nchi mmoja ambayo ni super power yenye watu wachache?? Nchi itoke kwene top 20 za nchi zenye watu wachache??

Nitajie nchi moja yenye nguvu zaidi kijeshi yenye watu wachache??
Nitajie nchi yenye ushawishi mkubwa yenye watu wachache??

NB:Idadi ya watu Inauhusiano na Maendeleo na Kuwa taifa kubwa duniani

Zaeni zaeni zaeni ila muweze kuwalisha na kuwahudumia
Population kubwa ni capital
 
Watu wachache kwa kipimo kipi unacho zungumzia ? Na watu wengi kwa kipimo kipi pia unacho zungumzia ?
 
Nitajie nchi mmoja ambayo ni super power yenye watu wachache?? Nchi itoke kwene top 20 za nchi zenye watu wachache??

Nitajie nchi moja yenye nguvu zaidi kijeshi yenye watu wachache??
Nitajie nchi yenye ushawishi mkubwa yenye watu wachache??

NB:Idadi ya watu Inauhusiano na Maendeleo na Kuwa taifa kubwa duniani

Zaeni zaeni zaeni ila muweze kuwalisha na kuwahudumia
Ukiwa unajiuluza maswali magumu namna hii hata kama majibu unakosea Ila ipo siku utapatia na hapo utakuwa GT, utaachana na udwanzi wako wa sasa.... utakuwa unajua kwa Nini Denmark, Finland na wanaofanana wanatupa msaada.
 
Nitajie nchi mmoja ambayo ni super power yenye watu wachache?? Nchi itoke kwene top 20 za nchi zenye watu wachache??

Nitajie nchi moja yenye nguvu zaidi kijeshi yenye watu wachache??
Nitajie nchi yenye ushawishi mkubwa yenye watu wachache??

NB:Idadi ya watu Inauhusiano na Maendeleo na Kuwa taifa kubwa duniani

Zaeni zaeni zaeni ila muweze kuwalisha na kuwahudumia
Idadi kubwa ya watu na umasikini uliokithiri ni pete na kidole haihitajiki sayansi ya kiroketi kutambua hili
 
Rasilimali nambari moja ni akili.

Taifa linaweza kuwa na watu milioni moja na likaendelea.

Taifa linaweza kuwa na watu milioni moja na lisiendelee.

Taifa linaweza kuwa na watu milioni sitini na likaendelea.

Taifa linaweza kuwa na watu milioni sitini na lisiendelee.

Akili.
 
Ni lini watu wamepungua ? Population ya Dunia imekuwa ikiongezeka ukizingatia hatuna Dunia ya Ziada ongezeko hilo is bound to reach its peak / capacity as resources become scarce....; Bila Scientific intervention GMO n.k. (yaani kama uzalishaji ungekuwe bado ni wa miaka iliyopita) tusingeweza kuhimili...

Kwahio issue sio numbers ni kiasi gani bali issue ni sustainability
 
Nchi inaweza kuwa na idadi kubwa ya watu lakini wengi si wazalishaji, Sasa unategemea maendeleo gani hapo?

Nchi kuwa na idadi ya watu wengi si kigezo cha maendeleo ya nchi.

Nchi inaweza kuwa na watu wengi wajinga, watu wengi wazee, watu wengi wanawake na watoto n.k

Mzigo mkubwa utaenda kwa serikali kuwahudumia hawa watu.
 
Wasomali wanazaliana hovyo kwa mihemko ya kidini kwamba wazaliane wengi waje watawale dunia. Ndivyo huu ujinga wanajazana hata waarabu wanaozaliana hovyo Ulaya.
Sio kweli kwani hata tz tunazaliana hovyo tena unazalisha unakimbia unaacha mtoto anakuwa hajui hata baba ni nani na aliktokea wapi
Yaani watoto wanazalishwa kwa uhuni tu
Hao wanajielewa na wanachapa kazi haswa kusema eti watashika Dunia mbona USA wako wengi

Kwa hoja yako labda ni chuki ya dini ila haina ukweli
Wanauwana kila leo Sasa huo umoja wa kushika Dunia hiyo mantiki umeitoa wapi?

Wauwane ili washike nchi au wazaliane zaidi which is which
Kwenye mijadala kama hii udini na chuki tuweke pembeni na kujadili kwa upana zaidi ya mihemko Asante
 
Tatizo elimu yetu haitusaidii, tulisoma advance Moja ya factor kubwa kukua Kwa ulaya ni demographics revolution, china walilijua Hilo ndio mana alipoingia mao tse tong aliwahamasisha Watu kuzaa mpaka ikafikia wachina kuwa ni 20% ya Watu wote wa dunia. Wazungu hawataki tupige hatua ndio mana wanatulisha matangopori
 
Rasilimali nambari moja ni akili.

Taifa linaweza kuwa na watu milioni moja na likaendelea.

Taifa linaweza kuwa na watu milioni moja na lisiendelee.

Taifa linaweza kuwa na watu milioni sitini na likaendelea.

Taifa linaweza kuwa na watu milioni sitini na lisiendelee.

Akili.
Kweli kabisa bila akili hata tuwe mabilioni ni kazi bure
Hebu angalia kichanja hiki kilichotengenezwa na so called wataalamu, halafu angalia daraja lililojengwa miaka 456 iliyopita huko India ndio hoja yako iko hapa
Tuna taifa la wajinga
Screenshot_20231217_192819_Instagram~2.png
Screenshot_20231217_193154_Google~2.png
 
Back
Top Bottom