Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Angalia nchi ya kwanza duniani kuwa na usafiri wa umma wa bure, ina idadi ngapi ya watu.GDP inatengenezwa na watu kwa kuwepo kwa Labour force,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia nchi ya kwanza duniani kuwa na usafiri wa umma wa bure, ina idadi ngapi ya watu.GDP inatengenezwa na watu kwa kuwepo kwa Labour force,,,
Wingi ama uchache wa watu si kigezo cha umasikini ama utajiri, bali uwezo wa akili ndo huleta utajiri ama umasikini,Umasikini husababishwa na matumizi ya akili ndogo.Mfano kuna watu wana mtoto mmoja hawawezi kumlea lakini kuna watu wana watoto kumi wanawalea vizuri na level ya taifa ni hivohivo.
Sio ndio maana nikasema degree ni utapeliKweli kabisa bila akili hata tuwe mabilioni ni kazi bure
Hebu angalia kichanja hiki kilichotengenezwa na so called wataalamu, halafu angalia daraja lililojengwa miaka 456 iliyopita huko India ndio hoja yako iko hapa
Tuna taifa la wajinga View attachment 2845456View attachment 2845457
HaswaSio ndio maana nikasema degree ni utapeli
Watu wakiwa wachache GDP inakuwa kubwa ambapo inasaidia huduma za jamii kuwa nzuri sana. Mfano Luxembourg usafiri wa umma ni bure(1). Ukiangalia GDP ya Luxembourg na idadi ya wananchi wake unapata jibu kamili jinsi nchi yao ilivyo. India ina uchumi mzuri lakini ina watu wengi sana, hii imepelekea huduma zao za jamii kuwa mbaya sana mpaka wahindi wanakimbilia Ulaya na Marekani. Kila mtu akibeba majukumu yake katika familia yake nchi itafika sehemu nzuri sana. Unakuta huku tanzania mtu anamweka binti Mimba wakati kula yake mwenyewe ni ya tabu. Inabidi tuamke watanzania.GDP inatengenezwa na watu kwa kuwepo kwa Labour force,,,
Watu wakiwa wachache GDP inakuwa kubwa ambapo inasaidia huduma za jamii kuwa nzuri sana. Mfano Luxembourg usafiri wa umma ni bure(1). Ukiangalia GDP ya Luxembourg na idadi ya wananchi wake unapata jibu kamili jinsi nchi yao ilivyo. India ina uchumi mzuri lakini ina watu wengi sana, hii imepelekea huduma zao za jamii kuwa mbaya sana mpaka wahindi wanakimbilia Ulaya na Marekani. Kila mtu akibeba majukumu yake katika familia yake nchi itafika sehemu nzuri sana. Unakuta huku tanzania mtu anamweka binti Mimba wakati kula yake mwenyewe ni ya tabu. Inabidi tuamke watanzania.
(1) Does free public transport make people drive less?.
Uingereza inatawaliwa na wahindi...Marekani kuna mhindi anataka kugombea uraisi kupitia Republicans...wazungu weupe hawataki foreigners lakini hawana jinsi sababu nchi zao zina uhaba wa wafanyakazi hasa kwenye kazi za vibarua yaani zile blue colar jobs.Ngoja waje falasha shauri zako
Kuna mkenya alilalamika na kusema baada ya miaka 30 wasomali wataitawala Kenya kwa nguvu watakazokua nazo kifedha na kuelimu pia ingawa nao ni wakenya
Akasema wakenya wanaambiwa na wanasiasa wasizae sana watakosa chakula cha kuwalisha, huku wasomali wanazaana kumi kumi
Hoja yako ina ukweli isikilizwe
Uingereza ukiwa na Elimu yako haijalishi wewe ni wa njano au mweusi, Bank zimeshikwa na wadosi, na sasa wameingia sana kwenye SiasaUingereza inatawaliwa na wahindi...Marekani kuna mhindi anataka kugombea uraisi kupitia Republicans...wazungu weupe hawataki foreigners lakini hawana jinsi sababu nchi zao zina uhaba wa wafanyakazi hasa kwenye kazi za vibarua yaani zile blue colar jobs.
Wachina wameshtuka na sasa wanahimiza watu kuzaa....
Nitajie nchi mmoja ambayo ni super power yenye watu wachache?? Nchi itoke kwene top 20 za nchi zenye watu wachache??
Nitajie nchi moja yenye nguvu zaidi kijeshi yenye watu wachache??
Nitajie nchi yenye ushawishi mkubwa yenye watu wachache??
NB:Idadi ya watu Inauhusiano na Maendeleo na Kuwa taifa kubwa duniani
Zaeni zaeni zaeni ila muweze kuwalisha na kuwahudumia
Nitajie nchi mmoja ambayo ni super power yenye watu wachache?? Nchi itoke kwene top 20 za nchi zenye watu wachache??
Nitajie nchi moja yenye nguvu zaidi kijeshi yenye watu wachache??
Nitajie nchi yenye ushawishi mkubwa yenye watu wachache??
NB:Idadi ya watu Inauhusiano na Maendeleo na Kuwa taifa kubwa duniani
Zaeni zaeni zaeni ila muweze kuwalisha na kuwahudumia
Hata ukienda kule uarabuni jamaa wanazalia kama panya, Palestine kwa mfano sehemu yao ni ndogo ila idadi balaa - wingi wao unawapa nguvu katika mambo mengi saana.Akasema wakenya wanaambiwa na wanasiasa wasizae sana watakosa chakula cha kuwalisha, huku wasomali wanazaana kumi kumi
Hoja yako ina ukweli isikilizwe
Tumia akili kidogo. Watu wakiwa wengi bila uzalishaji ni umaskini. Anza na mfano wa familia yako. Jaribu kuzaa watoto 10 uone kama utakuwa tajiri au maskini. Hili jambo linahitaji logic ndogo sana lakini watu wengine sijui mlienda shule kufanya nini! Chukuwa hata mfano wa ng'ombe. Mfugaji akiwa na ng'ombe wengi kushinda uwezo wake wa kuwatunza ni majanga. Hivyo kwenye kuzaa akili inatakiwa kutumika .i.e zaa watoto mabo unaweza kuwahudumia.GDP inatengenezwa na watu kwa kuwepo kwa Labour force,,,
Kuna mtu humu aliandika kwamba suala la kupunguza population ni mbinu tu ya wageni ili kupunguza urefu wa muda wa wao kurudi tena Africa, akimaanisha kwamba in years to come black skin inaweza kutokomezwa kabisa, mwingine akasema hivi sasa madawa mengi na bidhaa nyingi zina distort life style ya watu weusi ili kuwapunguza kwa kasi na baadaye wageni ndiyo watakuwa dominantsNitajie nchi mmoja ambayo ni super power yenye watu wachache?? Nchi itoke kwene top 20 za nchi zenye watu wachache??
Nitajie nchi moja yenye nguvu zaidi kijeshi yenye watu wachache??
Nitajie nchi yenye ushawishi mkubwa yenye watu wachache??
NB:Idadi ya watu Inauhusiano na Maendeleo na Kuwa taifa kubwa duniani
Zaeni zaeni zaeni ila muweze kuwalisha na kuwahudumia
Wingi una faida piaHata ukienda kule uarabuni jamaa wanazalia kama panya, Palestine kwa mfano sehemu yao ni ndogo ila idadi balaa - wingi wao unawapa nguvu katika mambo mengi saana.
Kuna mtu humu aliandika kwamba suala la kupunguza population ni mbinu tu ya wageni ili kupunguza urefu wa muda wa wao kurudi tena Africa, akimaanisha kwamba in years to come black skin inaweza kutokomezwa kabisa, mwingine akasema hivi sasa madawa mengi na bidhaa nyingi zina distort life style ya watu weusi ili kuwapunguza kwa kasi na baadaye wageni ndiyo watakuwa dominants
Wingi una faida pia
Tumia akili kidogo. Watu wakiwa wengi bila uzalishaji ni umaskini. Anza na mfano wa familia yako. Jaribu kuzaa watoto 10 uone kama utakuwa tajiri au maskini. Hili jambo linahitaji logic ndogo sana lakini watu wengine sijui mlienda shule kufanya nini! Chukuwa hata mfano wa ng'ombe. Mfugaji akiwa na ng'ombe wengi kushinda uwezo wake wa kuwatunza ni majanga. Hivyo kwenye kuzaa akili inatakiwa kutumika .i.e zaa watoto mabo unaweza kuwahudumia.